Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

Jamaa na magoti yake lakini wapi, watu hawakuangalii usoni.
EdZLRQDXgAM6e39.jpg
 
Nikitaka kujiuliza #Salaryslip kapatwa na tatizo gani Leo?!?!?!!

Kalishwani mini?!?!

Hata hivi fasihi uliyoitumia kuandika tahariri hii, umeonyesha jinsi gani wewe ni hazina ya maarifa makubwa JF.

Shukran sana. Lkn kubwa zaidi ni juu ya tathmini kwa JPM. Kuwa wananchi wamempeleekea salam kuwa pamoja na kufanya political trade yaani biashara ya kununua siasa hata hivyo wananchi hawamtaki yenye, watoto wake na aliowanunua
Shukrani sana mkuu!

Jiwe atakuwa amejifunza kwa vitendo kupitia matokeo haya kuwa, alifanya jambo la kijinga na la kipuuzi kubariki ile biashara ya manunuzi ya wasaliti wa kisiasa..
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Naomba utusaidie ndg List au orodha ya hao waliosaliti na walioshindwa kura za maoni. Wengine hatuko mbele sana mambo ya siasa lakini tunapenda information zaidi kuhusu hili. Asante sana.
 
Kwani alilaaniwa na nani? alikuzalia kwa mkeo au? lea mtoto kitanda hakizai haramu
Mkuu uwe mpole tu maana huyo Barbosa hajaielewa fasihi ya mtoa mada. Siyo kosa lake.Mtu mwenye laana kali ni yule ambaye kaumia moyo baada ya aliemfanyia wema kumgeuka na kumtukana au kumdhalilisha pasi na sababu. Mungu huyabeba machungu yake na kuyalipa kwa kadiri ya mapenzi yake.
 
Mawazo kama haya ya kiutopolo wenzetu huwa mnayatoa wapi? Huwezi kuwa na akili timamu ukaamini ktk haya uliyoandika.ni ya hovyo sana. Why inakuwa hivi?mnakuwa mmekunywa gongo na kuvuta bangi? Mnalipwa tsh ngapi mpaka kujiondoa akili hivi?

Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Haaaaaaaaaaaaaaa Mbowe kwishiney. Aendelee na FARU JOHN
mbowe mlevi sana.jpeg
 
Back
Top Bottom