Mbowe amvaa Jaji Mtungi, amwambia ana upendeleo ifike mahali tunamwambia inatosha. Kama kuvumilia imetosha

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,873
Mbowe amenena haya...

Robo tatu ya viongozi waliopo hapa wana kesi mahakamani. Hivi ninavyozungumza,katibu wa vijana, Nusrat Hanje pamoja na viongozi wengine 7 wa chama mkoani Singida wapo mahabusu zaidi ya mwezi na hawapewi dhaman alafu mnategemea amani hii iendelee kuwepo.

Watanzania wanalazimishwa kuwa na mapenzi na watawala. Mapenzi bandia.

Nawaambia viongozi wa serikali, amani ya nchi hii haipo kwa sababu tuna majeshi. Amani ya nchi hii ipo kwa sababu tumekuwa wavumilivu.

Ofisi ya msajili ipo biased, ina upendeleo wa wazi. Ofisi ya msajili wanajiita walezi wa vyama vya siasa, tunaitaka ofisi ya msajili isiipendelee Chadema, ipendelee haki katika chi yetu.
 
Ingekua ile cdm ya mzee Slaa , ningeogopa sana kauli ya kwasababu tumekua wavumilivu lakini cdm hii ya maandamano ya ukuta, haina jeuri hiyo. Meza kuu maoga ni mengi sana.
 
Back
Top Bottom