Mbowe ampongeza Jk wakati wapinzani wakihaha ni namna gani wameibiwa?

Sikubaliani kabisa na sentensi yako niliyoi-mark red. Samuel Sitta, Joseph Sinde Warioba, Mabere Marando, Jaji Augustino Ramadhani .... to name just a few hawa wamesomeshwa 'bure' kwa gharama zilizokuwa zikilipwa na Serikali na wakahitimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanaelimu bora ya kuweza ku-fit in popote duniani. Je hizo shule zetu siku hizi ambazo zinalipiwa unaweza nambia kwamba zinatoa quality education inayostahili?
Take 5
 
Back
Top Bottom