Mbowe alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Jun 7, 2011.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu kuangalia na kufikiria sana kinachoendelea katika siasa za Tanzania na hasa hizi kampeni zisizo rasmi kati ya CCM na CDM.

  Baada ya CCM kujivua gamba na viongozi wake kuanza kuzunguka mikoani ,hasa ile ambayo CHADEMA wameshapita na kufanya maandamano,kilichoendelea ni technique ya kisiasa kufanyika.Chadema inaonekana inanguvu na mbinu nyingi za kufanya siasa;baada ya CDM kufanya maandamano na mikutano na kuona kuwa vyombo vingi vya habari haviripoti au kuandika habari za maandamano na mikutano yao ikaona kuwa njia bora ni kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa urahisi kabisa.

  Mheshimiwa Mbowe alijua kabisa kuwa anahitajika kufika mahakamani na akatumia sheria za bunge kuona mahakama itafanya nini,wakati huo huo alijua kuwa vyombo vyote vya habari vitaandika na kulitaja jina lake kila wakati.

  Hivyo ndivyo ilivyotokea,Mbowe alijisalimisha na polisi wakatumia gharama kubwa kumsafirisha,Mbowe akatawala vyombo vya habari kwa siku kadhaa,akashangiliwa mahakamani Arusha na ataingia kwenye Bunge la bajeti kama SHUJAA.

  Hongera Mbowe na Hongereni CHADEMA

  Siku njema.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bila shaka nawe unatafuta umaarufu kwa kuweka hii Crap! Mbowe ni Maarufu kabla wewe hujazaliwa
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Sisi tusio wanachama wa chama chochote cha Siasa tunakupongeza kwa hii yuziful thread.

  Hongera Mbowe. Hongereni Chadema.

  Babu anarudi MMU kwa wajukuu zake kuhamasisha demokrasia.
   
 4. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Umaarufu kwa nani, mkeo?
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeishiwa mistari wewe.
   
 6. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,299
  Likes Received: 2,120
  Trophy Points: 280


  hawana la kufanya wamebaki kubuni mambo ya kitoto tuu!
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Huenda ukawa na hoja:
  -Kwa nini hakwenda Arusha mojakwamoja kama alivyofanya Dr Slaa?
  -Alitakiwa kujisalimisha polisi au mahakama iliyoamuru akamatwe?
  -Mh Mbowe hajui sheria ya dhamana ikoje na inafanyaje kazi?
  -Kwa nini hakuwasiliana na mdhamini wake juu ya kutohudhuria kwake mahakamani?
  -Suala hili limekuzwa makusudi na dola pamoja na vyombo vya habari?
  -Anayejisalimisha anakamatwa kwa nguvu nyingi kiasi hiki?
   
 8. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,299
  Likes Received: 2,120
  Trophy Points: 280
  ndio shida ya kuvamia siasa ukubwani, ona sasa ameshaanza kuishiwa mbinu!
   
 9. M

  MPG JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limbukeni mkubwa wewe,mbowe anajulikana kabla hata girfriend wako hajazaliwa.
   
 10. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Linapotokea jambo kubwa sehemu yeyote duniani liwe zuri au baya,kwa wanaotaka kukosoa hawatakosa maneno ya kusema(kukosoa)na vilevile kwa watakaotaka kusifia pia hawatakosa maneno ya kusema(kusifia),Tanzania yetu ni moja na sisi ni wamoja tupinge na kusifisia kwa nguvu zetu zote pale Serikali itakapokengeuka au pale Serikali itakapofanya vema.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yeah...kwenye familia yako amekuwa maarufu sana! unalingine??
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kweli wewe ni kalagabaho?? We uliyevamia tangu utotoni una nin
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Si ndio kazi ya siasa?? sasa ulitaka ajifunge chumbani na mkewe?? CCM wameloose yeye ka-gain and the game goes on..........thread nyingine bana
   
 14. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli huyu bwana sijamwelewa kabisa! Unataka kusema mbowe alikwenda polisi ili akakamatwe? Nahisi unachanganya hisia!!
   
 15. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Sote tumewahi kuwa na kesi na kudhaminiwa na kukosa kufika mahakamani. Mara zote mdhamni hupangiwa tarehe ya kumleta aliyemdhamini, mbona safari hii haikuwa hivyo? Kama wadhamini wa vibaka wa mitaani hupatiwa muda wa kuwatafuta watu waliowadhamini na ambao hawafiki mahakamani ilikuwaje kwa Mdhamini wa Kiongozi wa Kamabi ya Upinzani asipatiwe tarehe ya kumleta aliyemdhamini?

  Hapa kuna kitu ambacho mahakama ya Arusha kama ilivyo Polisi wantumiwa na CCM.


  Katika sakata hili cdm walipata fursa ya kupima ni kwa namana gani wamefanikiwa kuwaamsha watanzania kuwa responsive kwa uonevu. By the way kwani mahakama ilipotoa hati ya Fisadi Chenge kukamatwa kwa kutofika mahakamani kwa kesi ya kusababisha vifo nini kilitokea?
   
 16. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo, unasemaje....mtie keko basi.
   
 17. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  mtu aliyegombea urais, na yeye ndo alianzisha kampeni kwa kutumia helkopta unasema anatafuta umaarufu? Wewe kweli hamnazo yeye tayari ni maarufu labda useme alikuwa anatafuta umaarufu kwa mkeo na ameupata mkeo si kashaanza kumzimia au?
   
 18. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Humu ndani kumeingiliwa na mapepo ya ajabu ajabu kuna watu wanakera sana watatusabishia tufungiwe kwa mambo yao ya kijinga na kipumbavu!!

  Kwani ni lazima uanzishe ama kuandika topic zisizo kuwa na kichwa wala miguu???? ..................MIJITU MINGINE SIJUI IKOJE
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahahahahahah akili zao ziko kwenye makalio wasamehe kama mimi!
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  demokrasia ya mapenz?
   
Loading...