Mbowe alikubali kutoa ushahidi Polisi

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
869
Wana JF,

Chagonja amesema Mwenyekiti wa CDM Mbowe alikubali kupeleka ushihidi Polisi,lakini baadaye akakataa!

Kuhusu Lema Anasema alizungumza naye juu ya Tukio hilo na akasema wazi kwamba polisi hawakuhusika na tukio hilo na akasema kwamba aliwahi kuachiwa wosia kwamba asije akamsingizia mtu hata siku moja,kwa hiyo hawezi kusema uongo kwamba Polisi walihusika kwenye tukio hilo.na akaongeza kwamba alishuhudia wafuasi wao wakiwazuia Polisi wasimkamate Mtuhumiwa hadi akatokomea!.

SOURCE:VOA.
 
Utahangaika sana na huyo Chagonja wako tapeli wa ajira kwa vijana wa kitanzania.
 
mnajitetea kwa uwongo ambao hata huyo mtangazaji wa voa akiuwona atackitika.nimeckiliza kipindi chte cyo acha kupotosha
 
usini-coz nikakutukana uka-coz Jf wakanipa-ban i-coz nishwindwe kula hata msosi ika-coz hata nife mapema ika-coz wakosekane wanharakati wa kutosha ika-coz CCMdhalimu kutawala milele i-coz umasikini wa kudumu Tz.
 
Utahangaika sana na huyo Chagonja wako tapeli wa ajira kwa vijana wa kitanzania.

Mkuu wangu Mwita Maranya tunapaswa kujadili hizi kauli mbili za Chagonja juu ya Mbowe na Lema kama anatudanganya ama anasema ukweli,na sio mimi niliyesema,nimejaribu ku-quote maelezo ya Chagonja kama alivyorekodiwa na VOA kwa hiyo nisionekane ni mimi niliyesema kwa sababu naona watu wanaacha hoja na kutuma mashambulizi kwangu.najua wewe ni mtu muelewa jikite kwenye hoja.
 
Je, wewe unamwamini Chagonja kwa kiasi gani?
 
Nina tabia ya kutomwamini mtu yeyote Duniani,na hasa ukizingatia kwamba kuna wengine wanatembea hadi na sumu mifukoni yani wako tayari kuua wakati wowote ule!.ndiyo maana nimeleta hapa alichokisema wakati wa mahojiano na VOA ili tujadili kutokana na mazingira halisi ya tukio lenyewe!
 
Wana JF,

Chagonja amesema Mwenyekiti wa CDM Mbowe alikubali kupeleka ushihidi Polisi,lakini baadaye akakataa!

Kuhusu Lema Anasema alizungumza naye juu ya Tukio hilo na akasema wazi kwamba polisi hawakuhusika na tukio hilo na akasema kwamba aliwahi kuachiwa wosia kwamba asije akamsingizia mtu hata siku moja,kwa hiyo hawezi kusema uongo kwamba Polisi walihusika kwenye tukio hilo.na akaongeza kwamba alishuhudia wafuasi wao wakiwazuia Polisi wasimkamate Mtuhumiwa hadi akatokomea!.

SOURCE:VOA.

Oh!! Kumbe Nape ana naibu wake hapa JF??
 
Wasiokuwa chadema waondolewe humu haraka, mods toa hawa magamba

"To know the enemy is half the victory"
 
Back
Top Bottom