WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Wana JF,
Chagonja amesema Mwenyekiti wa CDM Mbowe alikubali kupeleka ushihidi Polisi,lakini baadaye akakataa!
Kuhusu Lema Anasema alizungumza naye juu ya Tukio hilo na akasema wazi kwamba polisi hawakuhusika na tukio hilo na akasema kwamba aliwahi kuachiwa wosia kwamba asije akamsingizia mtu hata siku moja,kwa hiyo hawezi kusema uongo kwamba Polisi walihusika kwenye tukio hilo.na akaongeza kwamba alishuhudia wafuasi wao wakiwazuia Polisi wasimkamate Mtuhumiwa hadi akatokomea!.
SOURCE:VOA.