Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa CHADEMA wamedhamiria kumtetea Kagame na Rwanda, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe amesema kuwa alichowasilisha Ezekiel Wenje ni msimamo wa Kambi ya Upinzani.

Tahadhari, Ikiwa CHADEMA wameamua kushirikiana na Rwanda dhidi ya Tanzania, kuna haja ya kila Mtanzania kulaani huu uasi unaofanywa na CHADEMA na kuna haja pia ya vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu nyenendo za viongozi wa CHADEMA
 
Kwa hiyo ina maana wapinzani wameshiriki kuishambulia Tanzania? Siamini kama haya ni maoni ya upinzani. Ninachoamini ni kuwa haya ni maoni ya CHADEMA ndani ya Upinzani. Sidhani kama Mbatia ameridhia upumbavu huu
 
Hili linafahamika kuwa chadema hasa viongozi wake wanaushirika na kagame hata hele za kufanyia baadhi ya mikutano twajua kuwa.......
 
Mkuu ile ukawa unayoina na kuisikia ni mali ya wachache ndiyo wenye maamuzi nayo sishangai chadema kuungana na rwanda kuichafu tanzania walianza kitambo sana.
 
Ni kweli Mkuu kwa sababu hata Membe ametamka kuwa wamepewa pesa na Kagame kuishambulia serikali
 
Mkuu ile ukawa unayoina na kuisikia ni mali ya wachache ndiyo wenye maamuzi nayo sishangai chadema kuungana na rwanda kuichafu tanzania walianza kitambo sana.
Nakubaliana na wewe Mkuu na Weston. Hakika CHADEMA wanaonesha ujinga wa hali ya juu sana kwa kumtetea Kagame
 
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa CHADEMA wamedhamiria kumtetea Kagame na Rwanda, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe amesema kuwa alichowasilisha Ezekiel Wenje ni msimamo wa Kambi ya Upinzani.

Tahadhari, Ikiwa CHADEMA wameamua kushirikiana na Rwanda dhidi ya Tanzania, kuna haja ya kila Mtanzania kulaani huu uasi unaofanywa na CHADEMA na kuna haja pia ya vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu nyenendo za viongozi wa CHADEMA

Utaweweseka sana ndugu yangu,povu limekutokaaaaa!
 
Huu ni mwendelezo wa kile ambacho kimeridhiwa kwa manufaa ya kisiasa.

Kumbuka kuna kipindi gari la kazi za KUB ambalo anatumia Mh. Mbowe lilipata matatizo Kenya na katika safari hiyo, Mh. Mbowe alikuwa ameambatana na guess who?. Mh. Wenje.

Gari waliamua kuiacha Mombasa wakaamua kumalizia safari zao kwa usafiri mwingine. guess walikuwa wanaenda kukutana na nani? kwa faida ya nani?.

Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya. Hata Rais Paul Kagame alishawahi kutumia reference ya msimamo wa CHADEMA katika hotuba yake.

Rais Kagame said last year, "he will wait for the right moment and hit Kikwete hard." This is the moment!

We knew it was coming!

Rais Kikwete husema, akili za kuambiwa changanya na zako!.
 
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa CHADEMA wamedhamiria kumtetea Kagame na Rwanda, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe amesema kuwa alichowasilisha Ezekiel Wenje ni msimamo wa Kambi ya Upinzani.

Tahadhari, Ikiwa CHADEMA wameamua kushirikiana na Rwanda dhidi ya Tanzania, kuna haja ya kila Mtanzania kulaani huu uasi unaofanywa na CHADEMA na kuna haja pia ya vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu nyenendo za viongozi wa CHADEMA

Kuna haja pia ya kulaani bangi
 
Kwa hiyo ina maana wapinzani wameshiriki kuishambulia Tanzania? Siamini kama haya ni maoni ya upinzani. Ninachoamini ni kuwa haya ni maoni ya CHADEMA ndani ya Upinzani. Sidhani kama Mbatia ameridhia upumbavu huu

Acha kujifanya unamjua sana Mbatia.
 
Back
Top Bottom