Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

Kwanini uongozi wa Kikwete ndo ugombane na Kagame na sio Mkapa au Mzee Mwinyi?
Hatugombani na Kagame ila Kagame ameiona nguvu ya Tanzania hivyo anapiga kelele tu ili ahurumiwe. Wapiiiii. Hakuna anayemsikiliza. Ni kama amefungiwa kwenye chupa vileeee
 
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa CHADEMA wamedhamiria kumtetea Kagame na Rwanda, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe amesema kuwa alichowasilisha Ezekiel Wenje ni msimamo wa Kambi ya Upinzani.

Tahadhari, Ikiwa CHADEMA wameamua kushirikiana na Rwanda dhidi ya Tanzania, kuna haja ya kila Mtanzania kulaani huu uasi unaofanywa na CHADEMA na kuna haja pia ya vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu nyenendo za viongozi wa CHADEMA

Wewe ni kilaza wa Magamba mpaka mwisho wa dunia.
Kazi yako kujitoa fahamu tu!
 
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa CHADEMA wamedhamiria kumtetea Kagame na Rwanda, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe amesema kuwa alichowasilisha Ezekiel Wenje ni msimamo wa Kambi ya Upinzani.

Tahadhari, Ikiwa CHADEMA wameamua kushirikiana na Rwanda dhidi ya Tanzania, kuna haja ya kila Mtanzania kulaani huu uasi unaofanywa na CHADEMA na kuna haja pia ya vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu nyenendo za viongozi wa CHADEMA

Kijana unatatizo kubwa,nikupe historia fupi wanachokifanya cm na adhari yake,
Mwaka 1978/9 tulikuwa na uhusiano mbaya na Uganda,sababu kubwa ni nchi ya uganda kuwa na rais dikteta aliyepindua serikali halali ya chama kilichowekwa madarakani na wananchi.
Rais wa marekani George w ,Bushmtoto aliitangazia dunia kuwa iraq imeficha siraha za maangamizi hivyo lazima ipigwe,
Kwa kiburi cha jeshi la kisasana uchumi mzuri alioacha mtangulizi wake akapeleka jeshi likawaua wananchi wa iraq,kilichotokea ni nchi ya marekani kukosa ushirikiano na mataifa ya mashariki ya kati.
Kwa ulevi tu wakukosa sayansi ya diplomasia alisababisha dunia ijue kuwa anapambana na uislamu.kwa ulevi huo,Uingrreza chini ya Tony Blair eaziri mkuu wa uingereza na waziri mkuu wa Australia aliingia vitani,baada ya vita bunge la uingereza maarufu( house of common) ,likisaidiwa na wataalam wa kimataifa,mossad na cia wakagundua kuwa ulikuwa ujanja wa yeyr kwenda kuvuna raslimali ya mafuta tu,Blair akanyang'nywa madaraka
Kwa sauti ya baba wa Taifa,mwl Jk Nyere alisema kuwa mwaka 1967, kuwa Tanzania haiko salama kama haitakuwa na mahusiano mema na nchi majirani kwani maadui watapitia huko,ndio maana wanyareanda walikuwa kaka na dada zetu,uganda,kenya,malawi,msumbiji,na nchi zote za kusini mwa Afrika tulikuwa marafiki,
Cha kuahangaza ni miaka ya sasa tunaanza kuhitilafiana na majirani zetu kiasi cha kusema hatuwezi kuwatetea wala kula nao sahani moja kulikoni( partriotism of the country is how you fell to any risc of your fell gets), chadema waneonya
Serikali hii imepoteza sera yake yakutofungamana na upande wowote,serikali hii imepoteza Azimio la Arusha, no committment ,hata inaposhauriwa na waziri wa kamvi rasmi ya upinzani umuhimu wa kutake conscience haitaki?, msituingize kwenye migogoro we need Rwanda,we berd our mother father ,sister & daughters! Chadema wameonyesha njia ifuareni acheni blaa za siasa za alinacha,tengeneni fedha za Economic diplomacy kama wenzenu USA,china,japan& India!, akili ni nywele.......
 
ok ok lakini tutumie akili kuleta nada zenye faida kwa taifa, mada nyingine ni useless and they have nothing to do with the fate of our nation
Hata hii ina maslahi mapana kwa taifa. Utanzania wetu ni Usalama wetu. Tuulinde na kuutunza. Tusiache watu wachache wakachezea amani yetu
 
Wadau, katika hali ya kuonesha kuwa CHADEMA wamedhamiria kumtetea Kagame na Rwanda, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe amesema kuwa alichowasilisha Ezekiel Wenje ni msimamo wa Kambi ya Upinzani.

Tahadhari, Ikiwa CHADEMA wameamua kushirikiana na Rwanda dhidi ya Tanzania, kuna haja ya kila Mtanzania kulaani huu uasi unaofanywa na CHADEMA na kuna haja pia ya vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu nyenendo za viongozi wa CHADEMA

umewahi fuatilia kwa namana gani kenya wanafaidika kwa ugomvi wa watu wawili tena usui na masli kwa taifa lako

follow the link below
Kenya launches mega $13.8bn railway project - Africa - Al Jazeera English

and the below is the project

soma alafu uniambie kitu gani hao ndugu zako wanchofanya pale bungeni

project waliyo nayo kubwa ni kuuwa shirika la reli ili magari ya vigogo kadhaa yapate tenda ya kusafirisha mizigo

na malori haya ndio yanayioleta foleni morogoro road from ubungo to chalinze lakini kwasababu ni nchi ya wajinga unaleta ujinga wako hapa unataka watu wenye akili zao wakusuport
 
Last edited by a moderator:
Kijana unatatizo kubwa,nikupe historia fupi wanachokifanya cm na adhari yake,
Mwaka 1978/9 tulikuwa na uhusiano mbaya na Uganda,sababu kubwa ni nchi ya uganda kuwa na rais dikteta aliyepindua serikali halali ya chama kilichowekwa madarakani na wananchi.
Rais wa marekani George w ,Bushmtoto aliitangazia dunia kuwa iraq imeficha siraha za maangamizi hivyo lazima ipigwe,
Kwa kiburi cha jeshi la kisasana uchumi mzuri alioacha mtangulizi wake akapeleka jeshi likawaua wananchi wa iraq,kilichotokea ni nchi ya marekani kukosa ushirikiano na mataifa ya mashariki ya kati.
Kwa ulevi tu wakukosa sayansi ya diplomasia alisababisha dunia ijue kuwa anapambana na uislamu.kwa ulevi huo,Uingrreza chini ya Tony Blair eaziri mkuu wa uingereza na waziri mkuu wa Australia aliingia vitani,baada ya vita bunge la uingereza maarufu( house of common) ,likisaidiwa na wataalam wa kimataifa,mossad na cia wakagundua kuwa ulikuwa ujanja wa yeyr kwenda kuvuna raslimali ya mafuta tu,Blair akanyang'nywa madaraka
Kwa sauti ya baba wa Taifa,mwl Jk Nyere alisema kuwa mwaka 1967, kuwa Tanzania haiko salama kama haitakuwa na mahusiano mema na nchi majirani kwani maadui watapitia huko,ndio maana wanyareanda walikuwa kaka na dada zetu,uganda,kenya,malawi,msumbiji,na nchi zote za kusini mwa Afrika tulikuwa marafiki,
Cha kuahangaza ni miaka ya sasa tunaanza kuhitilafiana na majirani zetu kiasi cha kusema hatuwezi kuwatetea wala kula nao sahani moja kulikoni( partriotism of the country is how you fell to any risc of your fell gets), chadema waneonya
Serikali hii imepoteza sera yake yakutofungamana na upande wowote,serikali hii imepoteza Azimio la Arusha, no committment ,hata inaposhauriwa na waziri wa kamvi rasmi ya upinzani umuhimu wa kutake conscience haitaki?, msituingize kwenye migogoro we need Rwanda,we berd our mother father ,sister & daughters! Chadema wameonyesha njia ifuareni acheni blaa za siasa za alinacha,tengeneni fedha za Economic diplomacy kama wenzenu USA,china,japan& India!, akili ni nywele.......
Rubbish
 
Siamini kabisa hili jambo,chadema inatakiwa iwe na mshauli wa mambo ya siasa za nje!
 
Hata hii ina maslahi mapana kwa taifa. Utanzania wetu ni Usalama wetu. Tuulinde na kuutunza. Tusiache watu wachache wakachezea amani yetu

siamini maneno yako na siamini kama moyo Wako unakushuhudia hivyo
 
umewahi fuatilia kwa namana gani kenya wanafaidika kwa ugomvi wa watu wawili tena usui na masli kwa taifa lako

follow the link below
Kenya launches mega $13.8bn railway project - Africa - Al Jazeera English

soma alafu uniambie kitu gani hao ndugu zako wanchofanya pale bungeni

project waliyo nayo kubwa ni kuuwa shirika la reli ili magari ya vigogo kadhaa yapate tenda ya kusafirisha mizigo

na malori haya ndio yanayioleta foleni morogoro road from ubungo to chalinze lakini kwasababu ni nchi ya wajinga unaleta ujinga wako hapa unataka watu wenye akili zao wakusuport
Kenya hawana historia ya kusuluhisha migogoro na walipotwangana mwaka 2007 ni sisi ndio tuliwasaidia kupata suluhu
 
Elimu ni muhimu sana, hawa chadema ni wapuuzi sana, wanadiriki kuisariti nchi kwa ahadi ya Kagame? Kama Tanzania isingepeleka majeshi Congo kisha South Africa na Malawi yakapeleka unafikiri wangetuelewaje? Mbona chadema hawaishutumu South Africa na Malawi, mbona hawailaumu UN kwa ku- finance na kupeleke ndeza za kijasusi Congo??
Chadema hakuna kitu hapo ni wapuuzi na wasariti wakubwa.
 
Lizaboni. Watanzania tunaakili na hatuwezi kufuatilia huu upuuzi uuletao. Jifunze propaganda! Ila sio kosa lako kama mwenezi wenu tu ana F ya Uraia we itakuwaje?
 
Back
Top Bottom