Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

Hii kesi kumfunga Mbowe labda kwa uonevu, mabavu na kwa kumridhisha shetani tu, Kesi hadi sasa haina msingi kabisa wa kuteketeza fedha za walipa kodi
 
Elimu ya bongo ni mbovu, ila ni vizuri tuwe na viongozi waliofaulu kwenye hiyo hiyo elimu mbovu kuliko kuwa na vilaza ambao kila wanachoshauriwa wanakipokea kama kilivyo bila hata kukipa second thought.

Kesi ya Mbowe ni matokeo ya kuwa na viongozi vilaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vip!!

Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.

Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.

Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.

Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii..

Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.

Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.

Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.

Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia

Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa...kwasababu atainajinsi mahakama..hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu.
Mmmh, matiganga yapo mengi
 
Wanasheria wasomi wenyewe wanamtazamo tofauti na wa kwako.Tuweke hisia na ushabiki pembeni,mwenendo wa kesi unaonesha Shaka Sana juu ya ukweli wa kesi yenyewe.Time will tell
 
KUPUNGUZA AIBU, JAMHURI IITUPILIE MBALI KESI HII MAPEMA!

NI AIBU YA KUTOSHA TAYARI!

MBOWE SI GAIDI!
1642842346222.png
 
Wanasheria wasomi wenyewe wanamtazamo tofauti na wa kwako.Tuweke hisia na ushabiki pembeni,mwenendo wa kesi unaonesha Shaka Sana juu ya ukweli wa kesi yenyewe.Time will tell
Tulipo ambiwa Mbowe ana kesi ya ugaidi,watu hatukutegemea kufika kote huku bila kuona angalau chembe za ukweli wa wazi kuhusu huo ugaidi.Tulijua tayari kuna wajumbe wa vikao mbalimbali vya kupanga hizo njama ambao ni mashahidi.Tulitegemea ushahidi kutoka kwenye makampuni ya simu wakitoa facts za wazi juu ya mawasiliano yanayoelezea hizo njama.Sasa ni wazi kuwa hata kama hizo njama zilikuwepo,basi hatuna uwezo katika medani za upelelezi WA kesi za ugaidi.kama ni hivyo,basi Bora tungeomba msaada Kwa wabobezi huko nje ya nchi.Vinginevyo tunajivua tu nguo na sasa imebakia kuita mashaidi wa hovyo,wanaokiri hadharani kuwa hawakuona Alama za kiuhalifu
 
Back
Top Bottom