kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nimesikitishwa na hotuba ya mwenyekiti wa chadema ndugu Freeman Mbowe,baada ya kuona kipande cha hotuba hiyo akimtuhumu Magufuli kuwa alikuwa na mpango wa siri kuwabagua watu wa Kaskazini na kwamba mamlaka zote ziliagizwa zisiajiri watu toka Kaskazini.
Kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anaweza kuanza kuchochea hisia za ukabila bila kuwa na ushahidi,naliona ni jambo la hatari sana ambalo linakuwa kama mbegu inayoweza kuota na kumea kwa haraka sana kuliko anavyodhania.
Asiwaone watanzania wajinga sana kwa uvumilivu wao,kwani wengi wanajua mengi ya ukabila yanayofanywa na yaliyofanywa na baadhi ya watu wa Kaskazini lakini wakanyamaza.
Watanzania hawa wanaona tabia za viongozi mbali mbali walioko serikalini na hata katika chadema jinsi upendeleo wa ukabila,ukanda na udini ila wamenyamaza kwani kuyazungumzia ni kuyachochea.
Hakuna asiyejua jinsi ilivyokuwa katika tawala zoye tangu Uhuru watu wa Kaskazini walivyojipendelea katika kila nyanja yenye maslahi ya kifedha.
Binafsi nimeiona tabia hii iko hadi vyuo vikuu.Makabila yenye watu huko wamekuwa wakiwatunukia alama za juu watu wa makabila yao hata kama hawafaulu kwa jinsi hiyo.Na tabia hii wanayo hasa wachaga,wahaya na wasukuma.
Kama Mbowe anataka kuanzisha mjadala wa Magufuli kuhusiana na ukabila,mimi natoa rai aonywe au adhibitiwe kwa ajili ya kuokoa wengi katika Taifa hili.Tusifike huko kwenye kujaribu kuligawa taifa kwa ajili ya maslahi yenu wachache