Mbowe akamatwa na polisi na kuhojiwa kwa dk 15...

Huyu jamaa ana matatizo ya akili. Masuala madogo tu, anataka polisi wamsukume ili atoe tamko. Alishindwaje kwenda kutoa taarifa polisi?

Wewe pamoja na Jeshi lote la Polisi Tanzania Pumbafuuuuuuuuuuuuu!
Mbona wahindi wanaposherehekea Diwari yao kwa kupiga na kurusha mafataki hawakamatwi.
Polisi Tanzania ni mabongolala!
 
Jamani hiki kitu ni rahisi.

Hebu turudi kwenye katiaba ya nchi. Je, inasemaje kuhusu matukio ya sherehe na ufyatuaji fataki! Wataalamu wa sheria watujuze.
 
Tatizo Police wa Tanzania hawana elimu ya uraia ndio maana wanachojua ni kutumia mabavu tu hata kwa kitu kidogo,lakin kuna siku nguvu ya umma itashinda kama ilivyotokea mbeya katika vurugu kati yao na wamachinga hatimaye nguvu ya umma ilishinda.Polisi wote watz ni wanachama wa ccm.Swali Tujiulize ingekuwa mwenyekiti wa ccm amepiga fataki bila kibali angekamatwa? au angeheshimiwa kwa sababu ni chama dola? Polisi acheni hizo mnajidhalilisha sana
 
hii ndio siasa ya TANZANIA. WATAKUWA WAMEPEWA AMRI YA KUFUATILIA KILA ANACHOFANYA KWA KARIBU. NA WASIPOFANYA HIVYO WATAPEWA ADHABU NA WAKUU WAO. HIVYO LAZIMA WAHOJI KILA KITU.
 
ukiwa polisi anbidi ujifunze hata kutokuwa na aibu! hata unalojua halifai utalifanya ili kuridhisha wakubwa ! kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom