Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

Tanzania Daima ni Gazeti la Mbowe unategemea nini...hakuna kitu usanii mtupu.
 
Kufuatia tuhuma zilizo elekewa kwake juu ya matumizi shangingi la kambi ya upinzan mbowe alikua na haya yakusema:

"Mimi nilikataa gari kwa kipindi cha miezi sita na nikawa natumia gari langu kwa shughuli zote za vikao vya bunge,lakini nataka umma uelewa kuwa kwa nafasi yangu natakiwa kulipwa posho ya madaraka sh 200000 kila mwezi,kupewa nyumba ya kuishi ikiwa samani zake.

Ila mpaka sasa sina nyumba ya serekali,wala mlinzi,wala kulipwa fedha za mawasiliano,vyote natumia fedha zangu...kama ningetaka ningedai mambo mengi ambayo natakiwa kupata lakini kulingana na hali ya uchumi wa nchi ni lazima nitumie fedha zangu ili kunusuru uchumi" alisema.

Source: Tanzania daima 22 june, 2012

Sio anatakiwa kupewa mbona mnapotosha sema hivi kila mwezi Mbowe anaweka kibindoni Milioni 2 nje ya mshahara wake, mambo ya hali uchumi yametoka wapi tena leo hii ndio kagundua hali ya uchumi duniani sio nzuri..

Sasa kwa nini aliwaita waandishi kwa mbwembwe na kuwambia anarudisha gari la KUB, na wakati analichukua tena kwa nini hakuwaita tena waandishi wa habari kuwafahamisha? akalichukuwa kimya kimya?
 
siku zote nasema mbowe ni mnafiki na mlafi pia fisadi we halafu unatuhadaa watanzania mbowe mwizi mkubwa kwani ukisema ukweli utachinjwa?
 
heri mtu JK kuliko mnafiki mbowe. Kila siku kwenye majukwaa wabunge wa chadema hatutaki posho kumbe mboye anaongoza kwa kusaini posho kuliko hata shibuda
 
I am so disappointed. Mbowe has let me down. It would have been better for him not to refuse it at first. However, I love Chadema.
 
Mbona bado anatumia V8 na wakati analalamika kuwa yanaongeza matumizi kwa serikali angeonyesha mfano wa kulikataa.
 
Kwakweli mwenyekiti hapa umechemka.maana wakati unalikataa haukutoa timeframe.sasa haya mambo ya miezi sita yametokea wapi???gademu!
 
mbowe kama vp kaa kimya tu kama babu slaa katibu mkuu+mbunge wa kujiteua mwenyewe
 
Kufuatia tuhuma zilizo elekewa kwake juu ya matumizi shangingi la kambi ya upinzan mbowe alikua na haya yakusema:

"Mimi nilikataa gari kwa kipindi cha miezi sita na nikawa natumia gari langu kwa shughuli zote za vikao vya bunge,lakini nataka umma uelewa kuwa kwa nafasi yangu natakiwa kulipwa posho ya madaraka sh 200000 kila mwezi,kupewa nyumba ya kuishi ikiwa samani zake.

Ila mpaka sasa sina nyumba ya serekali,wala mlinzi,wala kulipwa fedha za mawasiliano,vyote natumia fedha zangu...kama ningetaka ningedai mambo mengi ambayo natakiwa kupata lakini kulingana na hali ya uchumi wa nchi ni lazima nitumie fedha zangu ili kunusuru uchumi" alisema.

Source: Tanzania daima 22 june, 2012

Nilifikiri matatizo ya kuzuwa kwenye tarakimu za mahesabu ni tatizo la waziri wenu kivuli kumbe wote mna tatizo hilo?

Hiyo hesabu yako (niliyokuwekea nyekundu hapo juu) ni uongo na uzushi. Weka hesabu za ukweli.
 
Hivi sisi kama raia tunachotakiwa kufanya ni nini?! Kumzomea Mbowe au kuishinikiza serikali iache kuudhoofisha uchumi wetu wa kuungaunga kwa matumizi ya magari ya anasa na posho za kifisadi??? Tunaochangia hapa tunaiambia nini serikali ya ccm ambayo ndiyo INALAZIMISHA matumizi ya magari ya anasa na kujigawia posho za kifisadi?! Wabongo tunaelekea kuwa vinara wa unafiki duniani, hivi kweli hatujui wa kumbana kuhusiana na matumizi mabaya ya mapato yetu?!
 
siku zote nasema mbowe ni mnafiki na mlafi pia fisadi we halafu unatuhadaa watanzania mbowe mwizi mkubwa kwani ukisema ukweli utachinjwa?

badilisha hilo jina lako maana, "Paka"
ana kismati cha kupendwa na wachawi na wewe una Kismati cha "Paka" kupendwa na wachawi ndio maana unaongea pumba
 
Kufuatia tuhuma zilizo elekewa kwake juu ya matumizi shangingi la kambi ya upinzan mbowe alikua na haya yakusema:

"Mimi nilikataa gari kwa kipindi cha miezi sita na nikawa natumia gari langu kwa shughuli zote za vikao vya bunge,lakini nataka umma uelewa kuwa kwa nafasi yangu natakiwa kulipwa posho ya madaraka sh 200000 kila mwezi,kupewa nyumba ya kuishi ikiwa samani zake.

Ila mpaka sasa sina nyumba ya serekali,wala mlinzi,wala kulipwa fedha za mawasiliano,vyote natumia fedha zangu...kama ningetaka ningedai mambo mengi ambayo natakiwa kupata lakini kulingana na hali ya uchumi wa nchi ni lazima nitumie fedha zangu ili kunusuru uchumi" alisema.

Source: Tanzania daima 22 june, 2012

Viongozi ndiyo hawa!! Wanafuata nyayo za mheshimiwa sana Ndesamburo, our hero!! Mzee ana akili na utashi sijapata kuona!!! Angekuwa Rais wa nchi hii tungekuwa matajiri na wasafi japo kama Rwanda iliyokuwa inanuka umaskini na vita.
 
Back
Top Bottom