Mbowe aichafua Muheza, mpaka kusababisha CUF na CCM wahairishe mikutano yao kabla ya wakati

Haaya

Member
Feb 22, 2013
18
2
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Mbowe jana alifanya MIKUTANO MIKUBWA MIWILI ya kuwanadi wagombea udiwani kata ya GENGE Yosepher Komba, na Kata ya TINGENI Omary Khatibu! Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. Umati wa wananchi uliofurika katika Mkutano wa CHADEMA ulisababisha CCM na CUF waahairishe Mikutano yao kwa kukosa watu wakuwasikiliza. Mbowe amewasihi watu wa Tanga Muheza Wasiijaribu tena CCM, anasikitishwa sana na hali mbaya ya Mkoa wa Tanga, huku CCM wakijitapa Tanga ni Ngome yao. Tarehe 16/06/2013 Tanzania nzima Jicho lote wanaangalia MUHEZA watafanya Maamumizi gani?
 
piga kura linda kura, namkumbuka sana kamanda wa ardhini katika kampeni hizi za lala salama
 
sisi CCM ni taifa kuuuuubwa!...tutawaacha tu mfanye mikutano yenu na mbowe, leo uck sisi hatulali,nyumba kwa nyumaba,kila mpiga kura bukubuku....hii nchi bwana..CHADEMA,hakikisha hawa jamaa hawafanyi hako kamchezo, winda na tandika kabisa...agaya!...
 
piga kura linda kura, namkumbuka sana kamanda wa ardhini katika kampeni hizi za lala salama

Tatizo ni kwamba maelfu ya vijana hawajaandikishwa kupiga kura kwa vile CCM haitaki kuboresha daftari la wapiga kura. Wapiga kura wenye shahada za mwaka 2010 ndio watakaopiga kura, Mh Mbowe nadhani halioni hili suala au anadhani sio serious
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Mbowe jana alifanya MIKUTANO MIKUBWA MIWILI ya kuwanadi wagombea udiwani kata ya GENGE Yosepher Komba, na Kata ya TINGENI Omary Khatibu! Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. Umati wa wananchi uliofurika katika Mkutano wa CHADEMA ulisababisha CCM na CUF waahairishe Mikutano yao kwa kukosa watu wakuwasikiliza. Mbowe amewasihi watu wa Tanga Muheza Wasiijaribu tena CCM, anasikitishwa sana na hali mbaya ya Mkoa wa Tanga, huku CCM wakijitapa Tanga ni Ngome yao. Tarehe 16/06/2013 Tanzania nzima Jicho lote wanaangalia MUHEZA watafanya Maamumizi gani?

Its time 4 change wana muheza..........SEE NO EVIL (CCM) HEAR NO EVIL (CCM)
 
picha ninazo nyingi illa jinsi ya ku zi apload nashndwa, plz kuuliza si ujinga nielekezeni, natumia simu.
 
Back
Top Bottom