KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
kulikuwa na haja gani ya kuquote habari yote kwa sentensi hiyo?
kaona upenyo wa kuondokea, kwi kwi kwi kwi ! nduki ! teh teh teh
kulikuwa na haja gani ya kuquote habari yote kwa sentensi hiyo?
point nzuri, sasa na ile kesi ya mahakamani iishie wapi; alipe kabla ya kesi au baada ya kesi au alipe kana kwamba hakuna kesi?
Mwanakijiji,
Unataka kuniambia Mbowe angelipa hilo deni kwa hiyo miaka sita kama walivyokubaliana, bado wangempeleka mahakamani?
Acheni ushabiki usio na maana, Mbowe anadaiwa, NSSF kwenda mahakamani ni katika kudai haki yao na sio vinginevyo.
Sasa rais mtarajiwa anakuwa na madeni ambayo anashindwa kulipa, hapo mbona kama tunatengeneza fisadi mwingine kama Mkapa?
Mbowe alikuwa na uwezo kabisa wa kulipa hizo pesa lakini kama wafanyabiashara wengi wa miaka ya 90, wanaona kulipa deni ni kama kunyanyaswa.

"Naomba ifahamike, deni ambalo nadaiwa na NSSF haliwezi kulifisi shirika hilo, bali watu wanaoweza kulifilisi ni waliokopa mabilioni ya fedha na hawataki kurudisha. Wengi wamekopa katika mazingira ya kutatanisha na ukiwachunguza walio wengi ni makada wa CCM.
alisema kimsingi anadaiwa sh. milioni 15 ambazo alikopa mwaka 1990 kwa ajili ya shughuli za biashara na kwamba ameshazilipa ila deni lililopo sasa linatokana na riba ya mkopo huo.
Bw. Mbowe alisema hadi Juni 30 mwaka jana, kampuni yake imeshalipa jumla ya sh. milioni 75.5 ambazo kimsingi ni takribani mara tano ya kiwango cha fedha kilichokopwa na kampuni yake.
"Katika maisha ya biashara halali na ujasiriamali, kukopa ni jambo la kawaida. Utaratibu wa kupitia upya na kutathmini mikataba nalo ni jambo la kawaida kwa kila taasisi ya fedha inayojua wajibu wake na yenye nia njema. Mazingira ya biashara wakati wa michanganuo ya biashara hutofautiana kwa kiasi kikubwa na hali halisi hasa kutokana na udhaifu wa uchumi wetu hususan mfumuko wa bei," alisema Bw. Mbowe.
HUO HASA NDIO UUNGWANA.Kama wameanza kukana madai yao ya awali kuwa Mbowe hadaiwi hayo mabilioni na hajaitia NSSF hasara, je kuna sababu ya watu kuomba msamaha kwa Mbowe?
Members of JF,hebu tuwe serious na nchi tetu,we are fighting against leaders who are misusing their power to benefit for their own.Suala la Mbowe sidhani kama linaweza kutukosesha usingizi.NSSF wamekubali kwamba Mbowe alikopa kwa kufuata taratibu zote,then what is the issue kwa mtu kama huyu.
Suala la Mbowe huwezi kulilinganisha na mafisadi walioanzisha makampuni hewa kwa misingi ya kuchota mabilioni ya pesa za EPA.
Mimi nadhani hapa JF sio mahali pakuleta malumbano yasiyokua na msingi na hayana faida kwa mtanzania.NSSF NA Mbowe tuwaachie hiyo mechi waichezewenyewe na wasitupotezee muda.Hapa paswe ni mahali pakuchafuana au kuharibiana kwa kujua tu JF iawatazamaji na wasomaji wengi,tusiwe hivyo jamani,thamaniya JF itashuka kama blog hii itakua ya malumbano yasiyokua na msingi.
Kweli mbowe jizi anadai kiasi cha mkewe wake kukamatwa na kupelekwa mahakani na bado halipi deni?
wachagga mnajua kutafuta.deni miaka kumi na nane bado anabisha kulipa apewe miaka mingine 18.
http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/3/18/habari1.php
Naona wewe si mzima.
waziri wa mambo ya ndani wa uingereza BLANET DAVID alijiuzulu uwaziri kwa kampuni yake kupewa kazi ya pound elfu kumi na tano tu.
unajua millioni kumi na tano ya 1990 ina thamani gani wakati huo?
kauze mtori ndugu yangu. JF ni big issue kwako?
Huyu Fisrt lady wa mwanakjj hata nywele hana ndio maana Mbowe yuko na kina GRACE KIWELU.
inaoekana jinsi huyu mama anavyoijua pesa na wagonjwa wa muhimbili atakuwa anawachukua Figo na kwenda kuziuza India.
mtizame alivyotoa macho kama mjusi.
http://www.newhabari.com/mtanzania/