Mbowe acha pupa, mambo ya chama hayaendi hivyo

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Hivi karibuni tumesikia taarifa kutoka kwa mzee wa anga, bwana Mbowe, akiisifia rasimu ya katiba kuwa 'ipo poa' kwani imebeba mapendekezo mengi ya CHADEMA kama lile la serikali tatu.

Kauli hiyo ya mzee wa anga imezua kizungumkuti kwa watanzania wengi, kwani haijulikani kama kauli hiyo ni msimamo wa chama ama vipi.

Katika chimba chimba zangu, leo nimegundua kuwa, Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA amewataka watanzania wawe na subira ili uongozi wa CHADEMA uweze kupitia kila kipengele katika rasimu hiyo ndipo itoe maoni.

Maelezo ya Dr Slaa kwa watanzania wenye kiu ya kusikia maoni ya CHADEMA kuhusu rasimu ya katiba ni haya hapa;

"Habari watanzania,

Nafahamu watanzania wengi wana hamu ya kusikia tamko la CHADEMA juu ya rasimu ya katiba mpya kwani CHADEMA ndio serikali yetu ya nguvu ya umma ambayo inasimamia uzalendo kwanza.

Uongozi wa CHADEMA utatoa maoni yake juu ya kupokea rasimu hii ili watanzania watambue na nguvu ya umma kupitia na kupitisha.

Ntapenda utulivu na kupitia kila vipengele vya rasimu ya katiba mpya kila mtanzania kufafanua vipengele mbalimbali. Mungu mkubwa kwa binadamu wake."

Source: Jukwaa la siasa, Facebook.

My take;

Kwa maelezo haya, mzee wa anga alikurupuka kutoa maoni yake kwa pupa wakati chama kama oganaizesheni hakijakaa na kuijadili rasimu hiyo. Je, ni vipi kama chama kikija na moni tofauti na yale aliyo yatoa Mbowe?

Mzee wa anga hemu uwe na subira na uzitambue 'protoko' za chama, kwani unapoongea wewe kama Mbowe ujue una wakilisha CHADEMA kwa nafasi yako ya uenyekiti wa chama hicho.

Mzee wa anga mambo ya chama hayaendi hivyo.
 
yale yalikuwa ni mawaze yake na maoni yake kama nape alivyo bainisha kwenye chama chake jana....kuwa yeye ndo msemaji wa chama basi hivyo hivyo atakavyo kuja msemaje wa chadema na atatoa tamko
 
mkuu kachukue buku7 zako twende zetu pale falcon tukanywe chai bana.........
 
Nyie wenyewe mlikua mnauliza nini msimamo wa Mbowe sasa kasema,mnasema tena kakurupuka lipi jema kwako?Katiba ni ya nchi sii chama kila mtu yupo huru kutoa maoni yake
 
Kama kinana alivyosema na domokaya akasema yale siyo maneno ya chama ni ya mtaani wakati yule ni boss wake,na mbowe nae kasema hayo maneno kama yeye na sio chama japo kamati kuu ya ccm ishakaa na kutoa tamko kuwa inapeleka rasimu hii kwa wanachama wake<wananchi> ili ikajadiliwe na hilo ndiyo tamko la kamati kuu ya ccm,so we keep on waiting kwa kamati ya chama pendwa ikiongozwa na wataalamu wa sheria nayo itakuja na tamko lake,subr yavuta kheri au sio Radhia sweety?
 
Hivi karibuni tumesikia taarifa kutoka kwa mzee wa anga, bwana Mbowe, akiisifia rasimu ya katiba kuwa 'ipo poa' kwani imebeba mapendekezo mengi ya CHADEMA kama lile la serikali tatu.

Kauli hiyo ya mzee wa anga imezua kizungumkuti kwa watanzania wengi, kwani haijulikani kama kauli hiyo ni msimamo wa chama ama vipi.

Katika chimba chimba zangu, leo nimegundua kuwa, Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA amewataka watanzania wawe na subira ili uongozi wa CHADEMA uweze kupitia kila kipengele katika rasimu hiyo ndipo itoe maoni.

Maelezo ya Dr Slaa kwa watanzania wenye kiu ya kusikia maoni ya CHADEMA kuhusu rasimu ya katiba ni haya hapa;

"Habari watanzania,

Nafahamu watanzania wengi wana hamu ya kusikia tamko la CHADEMA juu ya rasimu ya katiba mpya kwani CHADEMA ndio serikali yetu ya nguvu ya umma ambayo inasimamia uzalendo kwanza.

Uongozi wa CHADEMA utatoa maoni yake juu ya kupokea rasimu hii ili watanzania watambue na nguvu ya umma kupitia na kupitisha.

Ntapenda utulivu na kupitia kila vipengele vya rasimu ya katiba mpya kila mtanzania kufafanua vipengele mbalimbali. Mungu mkubwa kwa binadamu wake."

Source: Jukwaa la siasa, Facebook.

My take;

Kwa maelezo haya, mzee wa anga alikurupuka kutoa maoni yake kwa pupa wakati chama kama oganaizesheni hakijakaa na kuijadili rasimu hiyo. Je, ni vipi kama chama kikija na moni tofauti na yale aliyo yatoa Mbowe?

Mzee wa anga hemu uwe na subira na uzitambue 'protoko' za chama, kwani unapoongea wewe kama Mbowe ujue una wakilisha CHADEMA kwa nafasi yako ya uenyekiti wa chama hicho.

Mzee wa anga mambo ya chama hayaendi hivyo.

Kumbe wewe ndio John Mnyika, eti? Yaonekana umegeuka kuwa msemaji wa CHADEMA! CHADEMA mtaipenda bure. Maana hamuishi kuihubiri kila mahali. Hata yasiyo wahusu mnadandia. Mbona huisemei CCM?
 
Hivi karibuni tumesikia taarifa kutoka kwa mzee wa anga, bwana Mbowe, akiisifia rasimu ya katiba kuwa 'ipo poa' kwani imebeba mapendekezo mengi ya CHADEMA kama lile la serikali tatu.

Kauli hiyo ya mzee wa anga imezua kizungumkuti kwa watanzania wengi, kwani haijulikani kama kauli hiyo ni msimamo wa chama ama vipi.

Katika chimba chimba zangu, leo nimegundua kuwa, Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA amewataka watanzania wawe na subira ili uongozi wa CHADEMA uweze kupitia kila kipengele katika rasimu hiyo ndipo itoe maoni.

Maelezo ya Dr Slaa kwa watanzania wenye kiu ya kusikia maoni ya CHADEMA kuhusu rasimu ya katiba ni haya hapa;

"Habari watanzania,

Nafahamu watanzania wengi wana hamu ya kusikia tamko la CHADEMA juu ya rasimu ya katiba mpya kwani CHADEMA ndio serikali yetu ya nguvu ya umma ambayo inasimamia uzalendo kwanza.

Uongozi wa CHADEMA utatoa maoni yake juu ya kupokea rasimu hii ili watanzania watambue na nguvu ya umma kupitia na kupitisha.

Ntapenda utulivu na kupitia kila vipengele vya rasimu ya katiba mpya kila mtanzania kufafanua vipengele mbalimbali. Mungu mkubwa kwa binadamu wake."

Source: Jukwaa la siasa, Facebook.

My take;

Kwa maelezo haya, mzee wa anga alikurupuka kutoa maoni yake kwa pupa wakati chama kama oganaizesheni hakijakaa na kuijadili rasimu hiyo. Je, ni vipi kama chama kikija na moni tofauti na yale aliyo yatoa Mbowe?

Mzee wa anga hemu uwe na subira na uzitambue 'protoko' za chama, kwani unapoongea wewe kama Mbowe ujue una wakilisha CHADEMA kwa nafasi yako ya uenyekiti wa chama hicho.

Mzee wa anga mambo ya chama hayaendi hivyo.

fsmilia ya panya....
 
Nina uhakika wa 100% hujasikia maoni ya Lipumba na Seif Sharrif Hamad yanavyopingana, lakini si maoni ya CUF.
 
CUF na CHADEMA kipi chama bora kwenye nyanja ya kiuongozi na kimfumo?
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa

Kwa hali hii ya akili ndogo ya Mbowe, angepewa mtu ambae angepaswa aambatane nae kila kona ili awe ana muelekeza yapi ya kusema na yapi ya kuyanyamazia.

Hii ndio njia ya pekee kwa CHADEMA kuficha aibu ya mwenyekiti wao kufuatia kauli zake.
 
HAMY- D
Acha masihara toa maoni yako kuhusu thread iliyopo mezani, kutotulia kwa huyo Radhia hapa kunatoka wapi?
 
Kila mtu ana maoni yake, ndiyomaana kila kiongozi anatofautiana na mwenzake
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa

Usivyokuwa na kumbukumbu leo umejikuta unameza ambacho umekuwa 'ukikitema' kila siku. Indirectly, giving salute to Rev. Peter Msigwa.

Indirectly, umekubali kuwa CCM na viongozi wa sampuli yake kuendelea kuwa madarakani ni akili ndogo kuongoza akili kubwa. Mambo hayaendi.

Asante kwa kukubaliana na Msigwa na wanaCHADEMA ambao wamekuwa wakitumia reference hiyo kuonesha namna CCM ilivyochakari.
 
Wewe hauna deal ongelea mambo ya CCM achana na CDM kaka unapoteza muda wako bure
 
Back
Top Bottom