Safi sana!
Zitto kabwe amejichimbia wapi?
Huku Lwenzera ccm wanapumlia kucha kamanda
Vipi magamba kwa kumtumia mwenyekiti wao mpya maarufu kama msukuma nasikia alikuja huko kupiga kambi hebu tupeni updates baada ya yeye kufika ilikuwaje wananchi walikubali kumsikiliza au ni kama Nape jana kule moshi.