Mbowe aanza kutekeleza yaliyoandikwa kwenye waraka wa akina Zitto kwa kuhudhuria sherehe za uhuru.

umla

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,166
555
kama umeusoma ule waraka wa siri wa akina Dr.mkumbo na Zitto kuna sehemu umeandika madhaifu ya mwenyekiti wa sasa kwamba hahudhurii sherehe za kitaifa kama siku ya uhuru na menguneyo mengi lakin jambo la kufurahisha ni kwamba leo nimemuona hapa uwanja wa uhuru akihudhuria sherehe za miaka 52 ya uhuru ni jambo jema endelea hivyo kamanda.
 
bango.jpg
 
Kama amekubali kukosolewa akakubali kisha akabadilika basi kumbe aweza kuwa kiongozi mzuri! big up dr mkumbo, mwaigamba na zzk kwa kumbadilisha huyu meku!
 
Huo ndo uungwana kama umeteleza hata kama aliyekukumbusha ni adui yako hupaswi kupuuzia
 
Msaliti Zitto ni lazima tummwage, mnataka hamtaki atamwagika tu maana hatuwezi kukaa na snitch ndani!
 
Back
Top Bottom