kama umeusoma ule waraka wa siri wa akina Dr.mkumbo na Zitto kuna sehemu umeandika madhaifu ya mwenyekiti wa sasa kwamba hahudhurii sherehe za kitaifa kama siku ya uhuru na menguneyo mengi lakin jambo la kufurahisha ni kwamba leo nimemuona hapa uwanja wa uhuru akihudhuria sherehe za miaka 52 ya uhuru ni jambo jema endelea hivyo kamanda.