Mbowe aanza kutekeleza yaliyoandikwa kwenye waraka wa akina Zitto kwa kuhudhuria sherehe za uhuru.

kama umeusoma ule waraka wa siri wa akina Dr.mkumbo na Zitto kuna sehemu umeandika madhaifu ya mwenyekiti wa sasa kwamba hahudhurii sherehe za kitaifa kama siku ya uhuru na menguneyo mengi lakin jambo la kufurahisha ni kwamba leo nimemuona hapa uwanja wa uhuru akihudhuria sherehe za miaka 52 ya uhuru ni jambo jema endelea hivyo kamanda.

Safi sana, Zitto akili kubwa.
 
kama umeusoma ule waraka wa siri wa akina dr.mkumbo na zitto kuna sehemu umeandika madhaifu ya mwenyekiti wa sasa kwamba hahudhurii sherehe za kitaifa kama siku ya uhuru na menguneyo mengi lakin jambo la kufurahisha ni kwamba leo nimemuona hapa uwanja wa uhuru akihudhuria sherehe za miaka 52 ya uhuru ni jambo jema endelea hivyo kamanda.

zito anatakiwa kumwagwa, hata iweje. Msaliti na bado anashirikiana na c.c.c.m kuandaa fujo. Bahati mbaya yenu watu wanawaonyesha vema upande wo. Fujo mtaleta ninyi c.c.c.m baada ya mkakati wenu kufeli.
 
Kwenye sherehe za Kitaifa kama hizi viongozi wote wanatakiwa kuwepo lakini pia lazima kuandaliwa mazingira .Mkuu wa mkoa huwa ana waalika Tanzania wa Mkoa wa Dar kwenda uwanja wa Taifa , na JK ambaye ni Rais lazima afanye hivyo kwa kuwapa mwaliko viongozi maana wana heshima zao na si zaidi ya hapo .Kama ana waalika nao wanakataa hapo lazima tujiulize tatizo liko wapi .
 
Pamoja na lawama, kejeli, matusi na laana zote zilizoelekezwa kwa Mwigamba, Zzk na kitila, siku zote nikuwa na imani kuwa kuna ukweli mchungu ndani ya waraka; viongozi makini watajitahidi kuyafanyia kazi hata km ni kwa unafiki. Alichokifanya Mbowe (kuhudhuria maadhimisho ya 52 ya uhuru wa Tanganyika) ni kitu chema.

Viva CHADEMA
 
Back
Top Bottom