Mbowe aanika madudu ya ofisi ya Pinda.

Hivi ninyi wenzetu mnaoitetea serikali hii dhalimu na dhaifu sijui mna chuki gani na Tz. Pinda ni mnafiki sana, Kikwete ni dhaifu sana, CCM ni janga la Taifa......na mbaya zaidi wanaamua kulitumia bunge kama sehemu ya kamati ya chama chao kupitisha matakwa yao ya kifisadi

hayo yanatokana na jamii dhaifu ya watanzania ahhahahhaha
 
Back
Top Bottom