vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,803
- 2,185
Kesi imeisha DPP kaingia mitini!
DPP kaamua kutunyima elimu ya uraia bila sababu, starehe ya kuona wakubwa wakilamba mchanga kwa midomo yao, katunyima kujua medani za wasiojulikana, katunyima kujua makomandoo walifukuzwaje kazini kwao, katuaacha bila kutuonyesha majaji wa Magufuli ni wepi....
Ukweli nimesononeka sana tena sana bora kesi ingeendelea ili tuone ndani ya box mpaka chini kabisa kuna kitu gani