Alikiba "Mwana" Is by far the best song and video I have ever seen from bongoland.
Wimbo sio holela holela, upo umejaa message konki..Yaani mimi nina cousin wangu mzawa wa mjini(Kama Tunavyo sema huku kenya "born Tao") tena mtoto pekeyake nyumbani alafu amepoteza maisha yake na hara za Nairobi..Sasa anatutegemea sisi wazawa wa vijijini Mùrang'a
👇👇👇
Kumbe jamaa inaeza kuwa kweli kwamba wewe ni Mtanzania anayeishi Kenya
Kama ni Mkenya mbona anafahamu kila jambo linalofanyika huko kwenu. Hata anakifahamu kiswahili chenu. Lazima awe ni wa kwenu au ana familia huko
Wewe mbona unamfahamu huyu mwanamuziki ambae mimi simjui?Kama ni Mkenya mbona anafahamu kila jambo linalofanyika huko kwenu. Hata anakifahamu kiswahili chenu. Lazima awe ni wa kwenu au ana familia huko
Alikiba "Mwana" Is by far the best song and video I have ever seen from bongoland.
Wimbo sio holela holela, upo umejaa message konki..Yaani mimi nina cousin wangu mzawa wa mjini(Kama Tunavyo sema huku kenya "born Tao") tena mtoto pekeyake nyumbani alafu amepoteza maisha yake na hara za Nairobi..Sasa anatutegemea sisi wazawa wa vijijini Mùrang'a
👇👇👇
Ukioe tukoragwo guothe kumatha ta murogoru was njamba.Kaa kwena muranga bururi wa dangayika?
wee huyu ni mkikuyu pyuwa, kama unabisha, mchokoze kilugha chenu. waterere werere.
Huu wimbo umenifurahisha. Quality iko juu. Hivi huyu Mbosso ndio nani na mbona hajulikani kama Diamond au Ali Kiba? Pia jamaa anainvest hela nyingi kwenye video. East Africa tuendelee hivyo hivyo.
Mbosso was born at Kibiti,an area in Coastal region(Tanzania).He was part of the defunct boy group called Yamoto Band.Currently he is signed by Diamond through his record and promotional label Wasafi(WCB).Sasa kwa nini skiza wanaweka ya Kenya? Seems this guys depend hugely on kenya
Huyu ni mtanzania mkazi wa kule maeneo ya Gongo la mboto Dar. Asiwapumbaze hapaKama ni Mkenya mbona anafahamu kila jambo linalofanyika huko kwenu. Hata anakifahamu kiswahili chenu. Lazima awe ni wa kwenu au ana familia huko
Wewe mbona unamfahamu huyu mwanamuziki ambae mimi simjui?
Huu wimbo umenifurahisha. Quality iko juu. Hivi huyu Mbosso ndio nani na mbona hajulikani kama Diamond au Ali Kiba? Pia jamaa anainvest hela nyingi kwenye video. East Africa tuendelee hivyo hivyo.