Mbosso- Maajab. Hapa T.Z mmetuwacha Kenya kwenye vumbi

Alikiba "Mwana" Is by far the best song and video I have ever seen from bongoland.
Wimbo sio holela holela, upo umejaa message konki..Yaani mimi nina cousin wangu mzawa wa mjini(Kama Tunavyo sema huku kenya "born Tao") tena mtoto pekeyake nyumbani alafu amepoteza maisha yake na hara za Nairobi..Sasa anatutegemea sisi wazawa wa vijijini Mùrang'a
👇👇👇
 
Kumbe jamaa inaeza kuwa kweli kwamba wewe ni Mtanzania anayeishi Kenya
 
Kama ni Mkenya mbona anafahamu kila jambo linalofanyika huko kwenu. Hata anakifahamu kiswahili chenu. Lazima awe ni wa kwenu au ana familia huko
wee huyu ni mkikuyu pyuwa, kama unabisha, mchokoze kilugha chenu. waterere werere.
 
Alikiba "Mwana" Is by far the best song and video I have ever seen from bongoland.
Wimbo sio holela holela, upo umejaa message konki..Yaani mimi nina cousin wangu mzawa wa mjini(Kama Tunavyo sema huku kenya "born Tao") tena mtoto pekeyake nyumbani alafu amepoteza maisha yake na hara za Nairobi..Sasa anatutegemea sisi wazawa wa vijijini Mùrang'a
👇👇👇

Kaa kwena muranga bururi wa dangayika?
 
Magufuli pia ywajua kingereza...haimaanishi km yeye ni muingereza....

Huyu ni mtanzania anayeishi kenya..tena ccm machine
wee huyu ni mkikuyu pyuwa, kama unabisha, mchokoze kilugha chenu. waterere werere.
 
Sasa kwa nini skiza wanaweka ya Kenya? Seems this guys depend hugely on kenya
Huu wimbo umenifurahisha. Quality iko juu. Hivi huyu Mbosso ndio nani na mbona hajulikani kama Diamond au Ali Kiba? Pia jamaa anainvest hela nyingi kwenye video. East Africa tuendelee hivyo hivyo.

Mbosso was born at Kibiti,an area in Coastal region(Tanzania).He was part of the defunct boy group called Yamoto Band.Currently he is signed by Diamond through his record and promotional label Wasafi(WCB).
The video was shot in Dar es salaam and Morroco
 
Kama ni Mkenya mbona anafahamu kila jambo linalofanyika huko kwenu. Hata anakifahamu kiswahili chenu. Lazima awe ni wa kwenu au ana familia huko
Huyu ni mtanzania mkazi wa kule maeneo ya Gongo la mboto Dar. Asiwapumbaze hapa
 
Yupo chini ya Lebo ya WCB ambayo inamilikiwa na Diamond
Na ndiye anaye invest kwenye hizo videos
Kifupi ndo bosi wake

Back
Top Bottom