Mbosso badilika, gemu itakushinda

Ahlan wassalan wana jukwaa huyu kijana wa kuitwa mbosso khan mushedede kutoka viunga vya WCB kiundashi,melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.

Shida yake ni moja tu habadiliki kila siku nyimbo zile zile,uandishi ule ule,mahadhi Yale Yale kila wimbo anataja maandazi,kachori,chapati,mishikaki Mara nisugue,Mara nnikande,Mara nibebe Mara niteme n.k kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu KWENYE gemu kwa muda mrefu,in short mashabiki wamemchoka ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate mahadhi Yale Yale,uandishi ule ule,hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka,yangu ni hayo tu

"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
Fact mboso anafanya muziki Kama wote tunaishi India na mombasaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki zake gani waliochoka?

Mbosso ana mashabiki zake na ndio hao anaowaimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom