FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,039
- 40,701
Lile sakata la kumfufua mtu limefika pabaya, Lukau adaiwa kufanya maigizo ili kutapeli waumini, Mboro amvalia njuga juu ya utapeli huo, video ina maelezo kamili.
Lile sakata la kumfufua mtu limefika pabaya, Lukau adaiwa kufanya maigizo ili kutapeli waumini, Mboro amvalia njuga juu ya utapeli huo, video ina maelezo kamili.
Misingi ya kitapeli?Bado uislamu utabaki pale pale katika misingi yake
Hua Uislamu mambo ya maigizo kama hayo hakunaga,uislamu mambo ya miujiza miujiza hainaga kabisaMisingi ya kitapeli?
Dini zote ni utapeli. Mungu hayupo.
Achana na hadith za kusikika
Kuna wasanii wa kuigiza na ambao sio wa kuigiza, wote ni wasanii. Msingi wa dini zote ni utapeli.Hua Uislamu mambo ya maigizo kama hayo hakunaga,uislamu mambo ya miujiza miujiza hainaga kabisa
Wakristu wamegeuza kanisa sehem ya kupata utajiri. ...... ndio kazi za wanadam hizo nduguHua Uislamu mambo ya maigizo kama hayo hakunaga,uislamu mambo ya miujiza miujiza hainaga kabisa
HahahaPastor Mboro all the best.. Pastor Lukau anachezea Mboro saaivi
Swadaktaa! Wao si wanataka miujiza ya kufufua wafu sasa jamaa kafufua hawataki. Basi nao wadedi kama jamaa hawafufuiBado uislamu utabaki pale pale katika misingi yake
TUPO TYR KUKUTHIBITISHIA UWEPO WA MUNGU MUUMBA MUWEZA WA KILA KITU KM UPO TYRI SEMAAMisingi ya kitapeli?
Dini zote ni utapeli. Mungu hayupo.
Achana na hadith za kusikika
Umewahi kumuona wapi?TUPO TYR KUKUTHIBITISHIA UWEPO WA MUNGU MUUMBA MUWEZA WA KILA KITU KM UPO TYRI SEMAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua Uislamu mambo ya maigizo kama hayo hakunaga,uislamu mambo ya miujiza miujiza hainaga kabisa
Bado uislamu utabaki pale pale katika misingi yake
Kama dini yako ni yakitapeli usitafute uhalali kwa kujumuisha na dini za wengine.fuala niniMisingi ya kitapeli?
Dini zote ni utapeli. Mungu hayupo.
Achana na hadith za kusikika
Haya ndo mnayodanganyana huko kanisani kwenu kila jumapili?Wewe sio Muislamu au ni muislamu jina usiefuatilia vitabu vyenu. Kama unadai kwenye uislamu hakuna miujiza mtume wenu si aliwaagiza mnywe mkojo wa ngamia? Na mbona alimnyonya ulimi mtoto mdogo wa kiume ili amtibu? Au hayo siyo matibabu ya kimiujiza?