Mboro amvaa Lukau kwenye sakata la kufufua mtu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,021
40,688
Lile sakata la kumfufua mtu limefika pabaya, Lukau adaiwa kufanya maigizo ili kutapeli waumini, Mboro amvalia njuga juu ya utapeli huo, video ina maelezo kamili.
 
Hua Uislamu mambo ya maigizo kama hayo hakunaga,uislamu mambo ya miujiza miujiza hainaga kabisa

Wewe sio Muislamu au ni muislamu jina usiefuatilia vitabu vyenu. Kama unadai kwenye uislamu hakuna miujiza mtume wenu si aliwaagiza mnywe mkojo wa ngamia? Na mbona alimnyonya ulimi mtoto mdogo wa kiume ili amtibu? Au hayo siyo matibabu ya kimiujiza?
 
Back
Top Bottom