Mboni M. Mgaza... Mboni Mhita Mgaza? DC - Mkinga

Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa nyumbani kwaa ni kijiji cha Mkuzi kule Muheza na anatokea Ukoo wa Chief Mang'enya ambaye mtoto wake mmoja Meja Jenerali Mang'enya aliwahi kuwa speker wa bunge na alifariki hivi karibuni na kuzikwa kwao Muheza.............
 
Mboni m.Mgeza ni mke wa Dr Kiwehwele anafanya kazi wizara ya maendeleo ya jamii idara ya watoto ni muhitimu wa chuo kikuu,baba yake Mboni wamewahi kufanya kazi na Kikwete undungu wa mbali hivi
 
"Mboni Masimba a.k.a Kim Kardashan humu" nahisi una-uncover ID za watu ndugu!!!!!!!!!!!!!
 
Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa nyumbani kwaa ni kijiji cha Mkuzi kule Muheza na anatokea Ukoo wa Chief Mang'enya ambaye mtoto wake mmoja Meja Jenerali Mang'enya aliwahi kuwa speker wa bunge na alifariki hivi karibuni na kuzikwa kwao Muheza.............

Mkubwa hapo kwenye red umechapia, aliyewahi kuwa speaker wa bunge ni Chief Erasto Mang'enya na alifariki miaka mingi iliyopita.
 
Back
Top Bottom