Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 31
ukweli anaujua lakini udini ndio unamsumbua!! hata kama wahusika wengi wa biashara hiyo ni wa dini flani, so what??
mungu amlaze pema marehemu.
Yourname....
Mimi naungana nawe kwamba marehemu apumzike kwa amani.
Lakini huu unafiki wa kukaa kimya wakati watanzania wanaendelea kufa kwa sababu ya madawa ya kulevya utaisha lini?????
Kwa nini Dini zetu zisitumie muwa wao mwingi kuwaasa vijana kutofanya hiyo biashara, Je dini hiyo imeshindwa?
Mbona dini nyingine wamefanikiwa walau kwa kiasi kidogo, kwa nini sio hii dini???
Nadhani ni muda sasa wa hizi dini kufanya tathmini ya kina jinsi ya kuwaonya jamii kuhusu jambo hili kuliko kupoteza muda kugombea maiti, wakati tunatengeneza maiti nyingi zaidi kwa kufumbia macho suala la madawa ya kulevya.
Mwisho nawapa pole sana wafiwa wote mwenyezi mungu awape nguvu za kuupokea msiba huu, na Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.