Mbongo auwawa Uingereza!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,630
4,226
Hii ni taarifa ya kifo cha mtanzania mwenzetu ambaye katupwa pembeni mwa barabara. Inaaminika kifo chake kimetokana na vifurishi vya unga ambavyo kakutwa navyo tumboni.No bodily harm was evident....Body on A45 identified as Coventry man

Mar 28 2008 By Steve Williams

F5F6734D-D68F-F4F7-75F942D988E438AF.jpg
A MAN found dead on a grass verge alongside the A45 has been identified as a 38-year-old from Coventry.

Police today identified the victim as Said Othman.

His body was found on Tuesday by council workers clearing the grass verge between Coventry and Rugby.

Toxicology tests are being carried out to determine the cause of his death after a post mortem proved inconclusive.

The post mortem showed 71 large packets of a substance believed to be the drug cocaine were concealed within his body.

The suspected drug has now been sent off for forensic analysis.

Police are working ports and airports to try establish where the victim had been before he died.

Said was last seen by his wife at their home in Coventry on March 17.

Officers are also keen to hear from anyone who noticed anything suspicious on the A45 Coventry- bound carriageway between the Thurlaston and Stretton on Dunsmore roundabouts during the 24 hours up to 9am on Tuesday March 25 when the body was found.

If you have any information that could help police with their enquiries, please contact officers on 01788 853787. You can also provide information anonymously by calling Crimestoppers on 0800 555 111.
http://www.coventrytelegraph.net/new...2746-20688254/
 
May his soul rest in Peace.

Huwa nijuiliza maswali mengi sana. Ninaposikia suala la mtu kukamatwa na madawa ya kulevya (95%) nina uhakika atakuwa ana jina linaloendana na dini fulani kulikoni. Is this the only business ou can do??? silet suala la udini hapa ila naona kama kuna uhusiano kati ya dini na hii biashara. Prove me wrong
 
Kwa kweli hakuna uhusiano wowote wa dini na biashara hii isipokuwa ni muibuko wa mambo fulani ktk sehemu fulani. Kwa mfano, miaka ya nyuma, kabla ya masuala haya ya madawa ya kulevya, issue kubwa kwa vijana wkt huo ilikuwa ni ubaharia (kuzamia meli). Kutokana na hili, hutegemei kukuta kabisa au wengi wa mabaharia kutoka sehemu za bara, km Dodoma, Iringa, Mbeya, na kwingineko, unless utakayemkuta atakuwa ni M'bara aliyekulia pwani. Kihistoria hapa Tz, asilimia kubwa ya wafuasi wa dini fulani utawakuta sehemu fulani ya kijiografia kuliko sehemu nyingine. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana kuwaona mabaharia wengi watanzania kuwa ni wafuasi wa dini fulani kuliko walivyo wafuasi wa dini nyingine. Na vivo hivyo kwa upande wa madawa ya kulevya.

Nadhani nimejitahidi kukujibu.
 
...Bowbow, "unaposikia" wapi? Redioni, televisheni, au magazetini? inaonekana source ya hizo information ziko limited sana kwa jinsi unavyozipokea. Biashara ya madawa imeshamiri kote duniani, wala haiendani na dini.

Jaribu kufanya utafiti na kuwa mkweli wa nafsi yako, utagundua katika biashara hiyo kuna wanaotuma, wanaotumwa/wabebaji, na angalia kwanini 'wanaotumwa' inawabidi/wanashawishika kufanya biashara kichaa kama hiyo!

Hii ni taarifa ya kifo cha mtanzania mwenzetu ambaye katupwa pembeni mwa barabara. Inaaminika kifo chake kimetokana na vifurishi vya unga ambavyo kakutwa navyo tumboni.No bodily harm was evident....

Pheeeww!.... afadhali, maana 'nilivyosikia', "alipokufa tu wenzake 'wakampasua' kutoa hayo madawa, kisha wakamtupa kwenye motorway!"

Balaaa...
 
Kwa kweli hakuna uhusiano wowote wa dini na biashara hii isipokuwa ni muibuko wa mambo fulani ktk sehemu fulani. Kwa mfano, miaka ya nyuma, kabla ya masuala haya ya madawa ya kulevya, issue kubwa kwa vijana wkt huo ilikuwa ni ubaharia (kuzamia meli). Kutokana na hili, hutegemei kukuta kabisa au wengi wa mabaharia kutoka sehemu za bara, km Dodoma, Iringa, Mbeya, na kwingineko, unless utakayemkuta atakuwa ni M'bara aliyekulia pwani. Kihistoria hapa Tz, asilimia kubwa ya wafuasi wa dini fulani utawakuta sehemu fulani ya kijiografia kuliko sehemu nyingine. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana kuwaona mabaharia wengi watanzania kuwa ni wafuasi wa dini fulani kuliko walivyo wafuasi wa dini nyingine. Na vivo hivyo kwa upande wa madawa ya kulevya.

Nadhani nimejitahidi kukujibu.

sura yake inaonekana ni mzanzibari mwenzangu, mungu ampuzishe pahala pema peponi na amsamehe madhambi yake na ampe faraja mkewe na watoto kama anao.

jamani haya maisha yanatufanya mambo ya ajabu tujitahidini kufanya mambo mazuri na ambayo hayahatarishi maisha yetu na imani zetu
 
May his soul rest in Peace.

Huwa nijuiliza maswali mengi sana. Ninaposikia suala la mtu kukamatwa na madawa ya kulevya (95%) nina uhakika atakuwa ana jina linaloendana na dini fulani kulikoni. Is this the only business ou can do??? silet suala la udini hapa ila naona kama kuna uhusiano kati ya dini na hii biashara. Prove me wrong

Ah ah ah Bowbow...! usitake ncheke, unataka kunambia enzi zile za wakati ule kipindi kile ambacho wadada wa kutoka mkoa fulani kule kaskazini Magharibi mwa ziwa nyanza walipokuwa wanaweka vibatari usiku nje ya milango yao (hususan jijini Dar)kusubiri wateja walikuwa na uhusianao na dini fulani? Maana majina yao pia yalikuwa na uhusiano na dini fulani...! Kwani hawakuwa na jinsi nyingine ya kutafuta ridhiki? Je kule Colombia na Brazil nako vipi...?! Machafu yanayofanyika kwenye ma'casino ya kitaliano na kimarekani kule Las Vegas huyaoni....?! Ni wa dini gani wale au kuna uhusiano gani wa biashara hile ya ukahaba na dini ile fulani...?
 
May his soul rest in Peace.

Huwa nijuiliza maswali mengi sana. Ninaposikia suala la mtu kukamatwa na madawa ya kulevya (95%) nina uhakika atakuwa ana jina linaloendana na dini fulani kulikoni. Is this the only business ou can do??? silet suala la udini hapa ila naona kama kuna uhusiano kati ya dini na hii biashara. Prove me wrong

nimeona mengi hapa JF, lakini hiyo hapo juu by bow wow nadhani ni worst of them all!!! halafu ati confidently anasema, "prove me wrong".....infwact you're more than wrong, unaonekana haupo well informed au jukwaa la dini hapa JF limeacha demage kubwa sana kichwani mwako!!!

jamani saa ingine muwe basi mnafanya vi-research vya hapa na pale kabla hamjatuonyesha ni jinsi gani mlivyo mufilisi wa mawazo!!.
 
May his soul rest in Peace.

Huwa nijuiliza maswali mengi sana. Ninaposikia suala la mtu kukamatwa na madawa ya kulevya (95%) nina uhakika atakuwa ana jina linaloendana na dini fulani kulikoni. Is this the only business ou can do??? silet suala la udini hapa ila naona kama kuna uhusiano kati ya dini na hii biashara. Prove me wrong

Kwani jina ndo dini au dini ni jina?

katika pita pita zangu mitaani nishakutana na kijana wa Kikikuyu (Mkenya) aitwaye Peter (sikumbuki ubin wake), alikuwa na Pasipot ya Ki Tz na akitumia jina la Said Abdallah Khamis (or something like that).

Je, Unamkumbuka yule jamaa aliyetutapeli Tanzania aliyejulikana kwa jina la Peter Kinyanjui?, je Tz alijulikanaje?

Je Unakumbuka "baba wa taifa" na kibaraghashia chake?, kwanini alikuwa anakivaa?

Mwisho ni kuwa kila kitu kina chanzo na sababu za msingi, na wengi hapo juu wameeleza. Unachotakiwa kufanya ni kuchunguza kwa makini na siyo kuchukua face value ya ukionacho!
 
Mwenyezi Mungu aipokee na asamehe madhambi yake na kuilaza roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen.

Ila hii ni "material" mazuri kwamba polisi watalifanzia kazi jambo hili.

Polisi wa Uingereza hivi sasa wameanza kuangalia kama marehemu alikuwa akifanzaje kazi yake ya kusambaza hayo madawa.

Wataangalia njia zote za kuingia Uingereza vikiwemo viwanja va ndege na mipaka mingine kwa kutumia "Surveillance CCTV systems" zote kuangalia nyendo za marehemu.

Kazi kama hio huwa wanazipenda mno na nawapa miezi michache tu .

Sasa kama kuna wengine waliohusika nae itabidi wafanze maarifa mengine.

Jamani tukipata makaratasi tuyatumie kwa uzuri, tupige maboski kama wazungu wanaona tumesoma sana au tufungue maduka madogo madogo tuuze vyakula ya kutoka bongo yaani "stalls" au tuwe ma-DJs wa kubobea na tuingize na wazungu pia.

Hata kazi ya usafi ambayo inahitaji uwe na CV sio mbaya na juzijuzi rafifki yangu mmoja amepata tenda ya kusafisha nyumba za watu watano katika jengo moja la wazungu na anapata paundi 300 kwa wiki bila kulipa kodi kwani ni ya mkononi- yaani bahasha huzikuta juu ya meza ya kula kila Jumatatu!.

Namsifu sana kwani yeye aliishia kidato cha nne tu!

Njia za mkato kwa bahati mbaya kwa sasa zinafanziwa kazi.
 
May his soul rest in Peace.

Huwa nijuiliza maswali mengi sana. Ninaposikia suala la mtu kukamatwa na madawa ya kulevya (95%) nina uhakika atakuwa ana jina linaloendana na dini fulani kulikoni. Is this the only business ou can do??? silet suala la udini hapa ila naona kama kuna uhusiano kati ya dini na hii biashara. Prove me wrong

BIASHARA HII IMESHAMIRI BRAZIL AMBAKO NI MAKAO MAKUU YA WAKATOLIKI HUKO NDIO JIKONI KWA ILE SUPER COCAINE YAANI GRADE ONE, KUNA CHILE NA SOUTH AMERICA YOTE HUKO KUNA MAJESHI YA WAUZA UNGA.

UKITAKA COCAINE DARAJA LA PILI INATOKA AFGHANSTAN HUKO KUNA WAISLAM WENGI.

KWA UK WAMEKUFA WATU WANNE SO FAR KWA MADAWA TOBY WA MILTON ALIKWENDA NA MWENZAKE BRAZIL WAKAUAWA MWAKA JANA KWENYE BIASHARA HIYO MAJINA YAO YALIONESHA KAMA NI WAKRISTU ILA MIMI SIMHUKUMU MTU KWA JINA. TARIQ AZIZ ALIYEKUWA MSAIDIZI WA SADDAM HUSSEIN NI MKRISTU.

KUNA KIJANA ALIYEKUWA AKIISHI READING NI CHOTARA WA KITANZANIA NA KIRUSI ALIFIA BRAZIL HUYU NAMJUA ALIKUWA MKRISTU. NA WATU WA READING WANAKUMBUKA MSIBA WAKE.

NA HUYU WA COVENTRY ANA JINA LA KIISLAM.

N.B UNAPOFANYA UTAFITI HUU NI LAZIMA UWE NA UHAKIKA WA KUMJUA MTU SI KUONA JINA KWENYE PASIPOTI, MARA NYINGI WATU HAWA HUTUMIA IDENTITY TOFAUTI TOFAUTI.

MIAKA YA NYUMA WALIKUWA VIJANA WAKIENDA PAKISTAN NA INDIA.
SASA SWALI LAKO LIWEKE VIZURI FANYA UTAFITI.
 
May his soul rest in Peace.

Huwa nijuiliza maswali mengi sana. Ninaposikia suala la mtu kukamatwa na madawa ya kulevya (95%) nina uhakika atakuwa ana jina linaloendana na dini fulani kulikoni. Is this the only business ou can do??? silet suala la udini hapa ila naona kama kuna uhusiano kati ya dini na hii biashara. Prove me wrong

Sikiliza BBC habari za leo amka na bbc.www.bbcswahili.com.

Venezuila kuna vita kubwa sasa baina ya wauza madawa ya kulevya na serikali kiasi ya kwamba uwanja wa ndege unaoshikiliwa na wauza madawa unatakiwa kulipuliwa.Venezuela ndio wapelekaji wakubwa wa madawa-USA.

Nchi nyingine ni Columbia huko nako ni kituo kikubwa cha madawa ya kulevya.

Diego maradona anatumia sana madawa ya kulevya alianza kutumia alipokuwa ITALY huko alikutana na genge la MAFIA ambao ni vinara wa biashara hii na hapo ni makao makuu ya Vatican.

swali unaweza kwenda Saudia na kukutana na genge kama la Mafia?
Whitney na EDDY MURPHY ni wameharibikiwa sana kwa kutumia madawa ya kulevya huko ni nchi ya waislam?

ALEX MASSAWE anahusika na biashara hii ni mtu wa pwani au muislam?

Mwanakijiji huyu wa JF anafanya shughuli hiyo na aliwatuma kina TOBBY wakafa Brazil kundi lao wote hakukuwa na muislam.au hujui kuwa Mwanakijiji anafanya biashara hii haramu? ndio maana utamkuta muda wote yuko JF kwani akiuza kete moja anaishi wiki nzima.
 
Mama Rwakatare Ni Mchungaji Na Nabii Wa Kanisa Lake. Anafanya Biashara Hii Nani Hajui?
 
Mwanakijiji huyu wa JF anafanya shughuli hiyo na aliwatuma kina TOBBY wakafa Brazil kundi lao wote hakukuwa na muislam.au hujui kuwa Mwanakijiji anafanya biashara hii haramu? ndio maana utamkuta muda wote yuko JF kwani akiuza kete moja anaishi wiki nzima.

Mwanakijiji hii tuhuma ni nzito sana, absolutely shocking! pse give us your response, you cant let people hit you like this, do something to defend yourself especially if this is not true.
 
Mwanakijiji hii tuhuma ni nzito sana, absolutely shocking! pse give us your response, you cant let people hit you like this, do something to defend yourself especially if this is not true.

HANA UBAVU WA KUJIBU.KAPOTEZA ROHO MBILI ZA WATANZANIA.Tulilazimishwa kupeleka michango kwa KOBI Milton keys.
alitudanganya kuwa kafa kwa ajali ya gari.

hivyo kila mwenye senti asaidie ili maiti ziletwe nyumbani.baada ya kushtukiwa akinyuti kimya. wakati huo tuliweka pesa kwenye account yake na kwenye kamati ya mazishi.
 
Hakuna suala la dini wala ukabila hapa ndugu zangu, hali yetu ya umaskini tuliyosababishiwa kwa kiasi kikubwa na wale ambao tuliwaamini na kuwapa jukumu la kutuongoza, inatulazimu kujiingiza kwenye mambo ya hatari na wakati mwingine machafu ili tu tuweze kujikwamua kutoka katika dimbwi la umaskini.Hii ni ajali tu kama ajali nyingine yoyote kazini.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Hakuna suala la dini wala ukabila hapa ndugu zangu, hali yetu ya umaskini tuliyosababishiwa kwa kiasi kikubwa na wale ambao tuliwaamini na kuwapa jukumu la kutuongoza, ....Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Hapo umenena KKN, siongezi kitu. Kwa hiyo walaumiwa wa kubwa ni hao hao walao keki ya taifa!
 
Msako wa Polisi Dar wanasa saba

2008-02-16 15:08:57
Na Moshi Lusonzo, Jijini

Watu saba wanashikiliwa na Polisi katika mikoa ya kipolisi ya Temeke na Ilala baada ya kukutwa na kete kibao za bangi na pombe haramu ya gongo.

Kamanda Kandihabi akasema katika msako uliofanywa na polisi katika eneo hilo, walifanikiwa kuwakamata watuhumiwa Jacob Msuya, 34, Issa Chalamanda, 20, Adam Rashidi, 24, na Hamisi Mohamed, 24, wote wakazi wa eneo hilo. soma zaidi http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2008/02/16/108528.html

Kamanda Kandihabi amesema katika maeneo hayo, polisi wamefanya msako na kuwakamata watuhumiwa saba wakiwa na lita 10 za gongo na kete 31 za bangi.

Amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Hosen Juma, 30, Asha Juma, 60 na Matatizo Wiliam,
Amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Aziz Christopher, 23, Ally Amiri, 21, Amiri Mdoe, 23 na wengine watano

soma http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/12/22/104832.html

Watu wanne wamekamatwa na Polisi katika maeneo ya Feri, Jijini Dar es Salaam wakiuza kete 118 za madawa ya kulevya aina ya Heroin na kete nyingine 27 za bangi

Akawataja watu hao kuwa ni Majid Ayubu,37, ambaye alikamatwa na kete 100 za Heroin na Abeid Bakari,18.

Wengine waliokamatwa na bangi kuwa ni Hassan Shaban, 36, ambaye alikamatwa kete 17 za bangi na Issa Omary, 22, aliyekamatwa na kete 10.

soma http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/10/01/99546.html

Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wanane wanaokabiliwa na tuhuma za kukutwa na misokoto 40, puri nne na kete sita za bangi
Akawataja watuhumiwa hao kuwa ni Idd Ramadhani,18, Seif Chacha,18, Fadhili Lugome, 25, Shida Noa, 22, Fadhili Rashidi, 18 na Hadija Ally 25. Aidha, amesema watuhumiwa wengine wawili wamekamatwa maeneo ya Kimara Baruti wakiwa na misokoto 40 ya bangi .

Amesema watuhumiwa hao ni, Frank Msangi, 25 na Alex Sanga, 20
soma http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/07/03/93761.html

Kiana mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi Jijini baada ya kunaswa na kete kibao za dawa za kulevya aina ya Cocaene wakati akiwa kwenye harakati za kusaka wateja.

Kijana huyo, ametajwa kwa jina la Ramadhan Hassan,18, almaarufu kama Kisana, mkazi wa Jijini aliyekutwa na kete 20 za `unga` huo katika Mtaa wa Mzizima pale Kariakoo Jijini.
soma http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/05/18/90777.html

Tanzanian national, Salim Nassir Salim, 36, has been arrested by Malawian police for allegedly being found with 32 tubes in his stomach filled with a substance suspected to be cocaine

soma http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2007/04/27/89288.html

Mkazi wa Kiwalani, jijini Dar es Salaam, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kukutwa na pipi 41 za dawa za kulevya aina ya cocaine 25 kati hizo akiwa amezimeza tumboni. Mtuhumiwa huyo, Nurdin Jeuri Ally (35), alikamatwa wakati akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Emirates katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam kuelekea Dubai

http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/01/18/82565.html

Kwa habari zaidi ya waliokamatwa na cocain fuata hii linkhttp://www.ippmedia.com/cgi-bin/ipp/search.pl?string=cocaine

Nia yangu sio kuzalilisha dini yeyote bali nahisi kuna tatizo. Maana kuanzia wauzaji, wasambazaji watumiaji walau wanaokamatwa na Polisi (Random Sampling) imeonesha ni watu wa dini Fulani (mimi siifahamu lakini naona watu mnazungumzia UISLAM).

Je tatizo ni nini?????? Naombeni jibu Prove me wrong
 
Nduguzanguni,

Hii post ilianza kama taarifa ya msiba wa Bw Saidi lakini naona
mto unadilisha mkondo.Jamani, tatizo la mihadarati linampata kila
mtu and I dont see why we are trying to twist this thing to become a shouting match about what religion does drugs the most!!!

Nawaombeni nyote jamani tupunguze jazba na kutafutiana maneno
huku tukitumia kigezo cha dini.Kama mnataka kujadili dini nadhani iko sekshen ya dini humu ndani na tupeleke hayo mawazo huko.

Kwa hivyo lets bury the dead and move on pleeeeease!!!
Asanteni.
 
Kwa kweli hakuna uhusiano wowote wa dini na biashara hii isipokuwa ni muibuko wa mambo fulani ktk sehemu fulani. Kwa mfano, miaka ya nyuma, kabla ya masuala haya ya madawa ya kulevya, issue kubwa kwa vijana wkt huo ilikuwa ni ubaharia (kuzamia meli). Kutokana na hili, hutegemei kukuta kabisa au wengi wa mabaharia kutoka sehemu za bara, km Dodoma, Iringa, Mbeya, na kwingineko, unless utakayemkuta atakuwa ni M'bara aliyekulia pwani. Kihistoria hapa Tz, asilimia kubwa ya wafuasi wa dini fulani utawakuta sehemu fulani ya kijiografia kuliko sehemu nyingine. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana kuwaona mabaharia wengi watanzania kuwa ni wafuasi wa dini fulani kuliko walivyo wafuasi wa dini nyingine. Na vivo hivyo kwa upande wa madawa ya kulevya.

Nadhani nimejitahidi kukujibu.

Nadhani Mkuu ndiye uliyemjibu vizuri ndugu Bowbow. Nakumbuka kuna muungwana mmoja Marekani aliwahi kusema, hypothetically, kuwa kama nchi yake wataweza kuwatia ndani watu weusi WOTE tatizo la uhalifu litapungua kwa kiasi kikubwa! Alilaaniwa sana lakini yeye alisimamia hoja yake na kusema statistics zinamlinda. Hatuwezi kukataa kuwa uhalifu mwingi Marekani na Uingereza unafanywa na watu kama sisi kwa kuhofia tutaonekana wabaguzi.

Vile vile kwenye biashara hii haramu. Sababu ni nyingi tu kama alivyoeleza Mkuu hapo juu kwa nini sehemu moja ya jamii inaonekana zaidi humu. Cha msingi ni kuiangalia hali na kujiuliza sisi kama jamii tunawezaje kuwasaidia hawa vijana wetu. Kwa nini wasihusishwe viongozi wetu wa dini katika kuihubiria jamii kuhusu athari na ubaya wa biashara hii! Hii sio ajali kazini.
 
Back
Top Bottom