Mbongo akikuita kwenye fursa ujue wewe ndio fursa

Ukiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.
Exactly !! Mtu anakwambia nipe sh. 10,000/= nikuzalishie kimazingaombwe upate 100,000,000/= !!! Kama ana uwezo huo kwa nini asijizalishie true mpaka take za kwako ??
 
Hiyo ni fayman mzee utaliwa kichwa na black money😂😂
 
Back
Top Bottom