Ukiona wanakunyooshea kidole kuwa wewe ni gaidi,ujue wao ndio MagaidiUkiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.
Exactly !! Mtu anakwambia nipe sh. 10,000/= nikuzalishie kimazingaombwe upate 100,000,000/= !!! Kama ana uwezo huo kwa nini asijizalishie true mpaka take za kwako ??Ukiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.
mimi watu wahivo nawachukulia kama kichwa beseni tuu.Ukiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.
Ukiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.
Hiyo ni fayman mzee utaliwa kichwa na black money😂😂Exactly !! Mtu anakwambia nipe sh. 10,000/= nikuzalishie kimazingaombwe upate 100,000,000/= !!! Kama ana uwezo huo kwa nini asijizalishie true mpaka take za kwako ??
Tutajuaje ebu tudadavulie kwa kinaUkiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.