Mbona Waziri Mkuu kaja na hii kauli?

Upinzani wamepigwa na kupigika, wamepoteana, wanatapa tapa kama kuku aliyekatwa kichwa. Wamebaki kuanzia vijiuzi visivyo na nyuma wala mbele. Pathetic
 
Back
Top Bottom