Mbona wasanii wakubwa wa kimarekani hawana body guard,iweje visanii vyetu vina body guard 6?

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Nimefatilia sana hili jambo na kukosa jibu.Kwanini baadhi ya wasanii wetu hawajiamini sijui.Kaja Bill Gates tajiri mkubwa duniani,kenda vijijini na hana body guard hata mmoja,sisi kulikoni?
 
Kama msanii gani mkubwa wa kimarekani asiye na walinzi?
Bill gates hana ulinzi? Hatembei na walinzi? smh!!
 
Bill gates anao,Mark Zuckerburg anao,Jay Z na Beyonce wanao wa kumwaga,Kendrick lamar anao,Kim Kardashian anao tena wale wastaafu kutoka FBI,Kendrick Lamar anao .Maraper wote wakubwa wa USA wanao mabodyguards,Mywether anao wa kumwaga.
 
Jay Z hana mlizi,mbona wengi tu mi nshakuwa nao wakati niko kule.
Wacha fix dogo hakuna msanii mkubwa wa Marekani asiye na bodyguard....
article-2424281-1BA5C6CE000005DC-83_634x500.jpg

2u6fbpk.jpg

JayZBodyguard.jpg


Lil-Wayne.jpg
 
Back
Top Bottom