Mbona wapinzani mnaweweseka kabla ya 2025?

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,003
12,466
Umofia kwenu wadau,

Nashangaa wapinzani na ajenda zenu za kuvuruga amani kwa kushirikiana na mabeberu mnajitahidi muonekane wa maana. Mjue kuwa Mungu alishaamua kuikomboa Tanzania, hata mfanyeje, hakuna wa kurudi nyuma, nyie mnao sapoti majizi mtakoma, lazima Tanzania mpya isonge mbele.

Sifuahishwi kabisa na unafiki wa wapinzani kukosoa serikali.
 
Tunaweweseka kiaje toa evidence Mkuu story za vijiwe vya kahawa hatuvitwki
 
Umofia kwenu wadau,

Nashangaa wapinzani na ajenda zenu za kuvuruga amani kwa kushirikiana na mabeberu mnajitahidi muonekane wa maana. Mjue kuwa Mungu alishaamua kuikomboa Tanzania, hata mfanyeje, hakuna wa kurudi nyuma, nyie mnao sapoti majizi mtakoma, lazima Tanzania mpya isonge mbele.

Sifuahishwi kabisa na unafiki wa wapinzani kukosoa serikali.

Nitajie mabeberu kwa majina yao ili nisijikute nawatetetea, si unaona signature yangu hapa chini.
 
Umofia kwenu wadau,

Nashangaa wapinzani na ajenda zenu za kuvuruga amani kwa kushirikiana na mabeberu mnajitahidi muonekane wa maana. Mjue kuwa Mungu alishaamua kuikomboa Tanzania, hata mfanyeje, hakuna wa kurudi nyuma, nyie mnao sapoti majizi mtakoma, lazima Tanzania mpya isonge mbele.

Sifuahishwi kabisa na unafiki wa wapinzani kukosoa serikali.
Ona ulivyoandika upupu!
Serikali lazima ikosolewe, hii serikali ni ajabu sana...
Wengi mnaowaunga mkono hawa watawala ni mazwazwa na miongoni mwa mazwazwa ni wewe mleta mada, yaani kichwa chako ni zero!
Utaishia kuleta mapovu yako humu kisa umezidiwa na vitoto pre form one vinavyokutoa knock out na kukushikashika huko kwenye vigodoro wee mwanamke!
 
Umofia kwenu wadau,

Nashangaa wapinzani na ajenda zenu za kuvuruga amani kwa kushirikiana na mabeberu mnajitahidi muonekane wa maana. Mjue kuwa Mungu alishaamua kuikomboa Tanzania, hata mfanyeje, hakuna wa kurudi nyuma, nyie mnao sapoti majizi mtakoma, lazima Tanzania mpya isonge mbele.

Sifuahishwi kabisa na unafiki wa wapinzani kukosoa serikali.
Kiwango chako cha ujinga kinazidi kuongezeka kila kukicha.
 
Najua mpango wenu ni kuaminisha watu kuwa 2020 kwamba mtu wenu ameisha shinda. Lakini pia natambua kinachowapata wanaccm wengi hamkujua mtu wenu ata underpeform hivi na kumfanya achukiwe na kila Mtanzania, poleni sana 2020 tutapambana jiandaeni kutuua.
 
Hao wasaliti na vidomodomo Dawa yao ni kudhibitiwa tu
Hata Mwalimu Nyerere na Mkapa waliwadhibiti
 
Back
Top Bottom