Mbona wanafunzi wa udom wanaonewa hivi

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
806
385
Nina mdogo wangu udom, cha kushangaza anapewa mkopo toka bodi lakin mpaka sasa anadai wamepewa baadhi! Huu ni unyanyasaji na usumbufu kwa wazazi, why udom si bure kuna tatizo
 
Hata mimi nasumbuliwa na dogo hivyo hivyo itakuwa kweli wananyanyaswa na anadai kasaini muda mrefu hadi sasa hajawekewa.NILIJUA DOGO ANALETA USANII.
 
WALIOMALIZA MWAKA JANA, WAMENYIMWA VYETI SABABU ETI HAWAJASAINI ADA, HIVI INAINGIA AKILINI, UOMBE MKOPO, UGOME KUSAINI? njama ile waziri aliibariki bungeni, haya sasa watoto wako mtaani bila vyeti, wanafuta ada wakalipe, sijui akili ya nani kumnyima mtu jembe akalimie nin alete mavuno.


ningeshauri wawape vyeti, ama hata copies, then original wazifate wakipata ada, watoto wa maskini ni vigumu kupata laki tano wakuu.

wamejaa mitaani bila vyeti, watapata kazi kwa nani, wahurumieni wapeni vyeti watawalipa ada yenu.
 
Back
Top Bottom