Mbona walikua kimya kwenye suala la mahakama ya kadhi

darasa

Member
Sep 28, 2011
7
4
Inashangza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza
 
kimsingi hii ndio hoja na sio Mrs kimario kuvuliwa mtandio,mashekh wanatupotosha sana kwenye mambo ya msingi hawana haja ya kulivalia hili suala njuga kuliko lile la msingi la mahakama ya kadhi,huu ndio muda wao wa kujidai na kuwaadhibu magamba kwa ahadi hewa wanazozitoa na sio kupambana na jambo lisilo na kichwa wala miguu,magamba wanyimwe kura kwa sababu ni waongo,muongo ni muongao tu hata kama anakuambia ukweli,tuamke kwa hili magamba hawana sera kwa hili
 
Masheikh ni watu wa ajabu sana na inasikitisha wanapotumika na wanasiasa kwa maslahi, bila wao kustukia biashara inayotendeka.
Sielewi GEJI wanayotumia kupima na kupambanua uzito wa masuala na hoja, hadi kufikia maamuzi yanayowadhalilisha hivi!
Nina uhakika hapaJF kuna MAPADRI na WACHUNGAJI!...Lakini sina uhakika wowote kama kuna MASHEIKH wanapita humu japo kuona kinachojadiliwa!
 
Masheikh wenye uwezo wa kutumia mitandao wote ni wajanja na sio wajingawajinga, mfano mzuri ni yule Sheikh Yahya alivyofanikiwa kutajirika kwa kutumia google search engen na google translate, alikuwa anasearch habari za freemason kwenye internet halafu anacopy na kupaste basi alipata mashabiki kibao wa hadithi za Ilumminanti kumbe vitu vyote vipo humu mtandaoni. Sasa usitegemee Sheikh ubwabwa kama akili yake inaweza ikaona mbali zaidi ya ubwaubwa wa Maulid.
 
Tatizo lenu matoto ya Chadema ni dharau na kiburi cha kanisani kimewajaa. Munadhani ninyi ndio wenye akili munachotaka basi waislamu wawaunge mkono tu! Huu ni upuuzi kila mtu anajua anachokitaka! Nyie endeleeni na chama chenu cha kanisani!
 
Majority of them hawajui kusoma na kuandika, they have never gone to school ila madrasati quba
 
Masheikh wenye uwezo wa kutumia mitandao wote ni wajanja na sio wajingawajinga, mfano mzuri ni yule Sheikh Yahya alivyofanikiwa kutajirika kwa kutumia google search engen na google translate, alikuwa anasearch habari za freemason kwenye internet halafu anacopy na kupaste basi alipata mashabiki kibao wa hadithi za Ilumminanti kumbe vitu vyote vipo humu mtandaoni. Sasa usitegemee Sheikh ubwabwa kama akili yake inaweza ikaona mbali zaidi ya ubwaubwa wa Maulid.

Mtu na akili zake anakwenda kwenye msiba na ndizi kwenye kanzu ili ikitokea wali ukawepo atumie kulia ndizi!!! shame
 
Afadhali ya wale wanaokunywa bia kwenye misiba! Huko ndio kustaarabika!!!!!!!!!
Kweli akili ni mali
 
Aisee bora kunywa bia kuliko mtu mzima kubebana na ndizi mbivu kwenye mfuko wa kanzu...aibu ati!
 
Masheikh ni watu wa ajabu sana na inasikitisha wanapotumika na wanasiasa kwa maslahi, bila wao kustukia biashara inayotendeka.
Sielewi GEJI wanayotumia kupima na kupambanua uzito wa masuala na hoja, hadi kufikia maamuzi yanayowadhalilisha hivi!
Nina uhakika hapaJF kuna MAPADRI na WACHUNGAJI!...Lakini sina uhakika wowote kama kuna MASHEIKH wanapita humu japo kuona kinachojadiliwa!

Endelea kuamini yale mnayoongeaga kwenye jumuiya zenu...

Mtaendelea kuamini masheikh hawajasoma..ili iwe rahis kudanganywa poleni
 
Aliye anzisha mada hii KAFIRI Mkumbwa .maruhuni kabisa yani kubeba ndizi na pilipili vinakujaje hapa ! Ile ni obi ya m2. Msichanye mambo. siye tumeshomamo bwana hivyo vidigirii vyenu vya manzese ndo mtukashifu hivyo
 
Tatizo lenu matoto ya Chadema ni dharau na kiburi cha kanisani kimewajaa. Munadhani ninyi ndio wenye akili munachotaka basi waislamu wawaunge mkono tu! Huu ni upuuzi kila mtu anajua anachokitaka! Nyie endeleeni na chama chenu cha kanisani!

Wewe ni BAKWATA bila shaka, hamjui mnachohitaji. Chadema kimeisha toa guideline ni namna gani nyie matatizo yenu yatakuwa handled.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom