safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,839
Mkuu samahani sana kama nimekukera mkuu.Chuki binafsi zimekujaa nafsini mwako. Hoja hujibiwa kwa hoja, kama walivyofanya wenzako.
Nimefuta comment yangu nimegundua haikuwa ya kiungwana mkuu.
Mkuu samahani sana kama nimekukera mkuu.Chuki binafsi zimekujaa nafsini mwako. Hoja hujibiwa kwa hoja, kama walivyofanya wenzako.
You are rightThe same as I said, when you are a bi.tch you will keep on seeking men attention so that you may not miss a daily hook
Hili ndio jibu sahihiKama we in mdau wa elimu jibu utakuwa nalo, ukweli ni kwamba vijana wa siku hizi ni hovyo sana(siyo wote), sijajua vizuri lengo LA serikali ni nini haswa, mbali ya kwamba uwezo wao ni mdogo sana kuliko kawaida lakini wanazidi kufanya vizuri kuliko miaka yote. Mfano matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa juzi ndo yametia simanzi, watoto wetu wamefanya vizuri kuliko uwezo wao, hatukatai yote mema, lakini inatisha kuona kijana tayari amefanya vizuri kidato cha 6 lakini bado hana uwezo wa kuchanganua mambo madogo hata ya kawaida, mfn hai kuna mzazi ananiambia binti yake amepata 2 ya point 10, lakini anajua fika Huyo binti yake hakuwa na uwezo wa kupata alama hiyo...huu ni mfano halisi. Ila yote tunashukuru acha maisha yaendelee.
Excellent!You are right
Umeona logic zenu watu wazamani zilivyo zakishambaMkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadili
Umeona logic zenu watu wazamani zilivyo zakishamba
Umefanya uchunguzi au yanakutoka tu, umetoa wapi data, wasomi na watu wa vijiweni hakuna tofautiSiku hizi siasa za ccm zimeathili sana Elimu
Quantitatively wanalazimisha ufaulu wa idadi kubwa.
Quantitatively wanalazimisha numbers na grades ziwe za juu
Ukweli mitihani ni hafifu sana na haina qualities kama siku za huko nyuma.
Kifupi siasa za ccm zinaathili taasisi nyingi.
Relax hakuna inaemuuma its just a comment usije pata ugonjwa wa moyo kwa comment ya jammiiforumn, ila sitengui kaul umeongea pumbaKama za kishamba zimekuuma nini, sisi tumeona zamani na sasa tunaona, usinitibue dada yangu
Ni malengo tu mkuu inawezekanaKwasisi tuliofanya paper kama 'PC' mambo yamekuwa magumu kidogo sijui tatizo lipo wapi maana lile Paper tulitusua sana.
Anyway!! Ngoj mwakani tutupe tena karata huenda malengo yetu ya kupiga one ya 8 yakatimia.