Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania bado watu wengi wana kasumba ya kuona kuwa masomo yanayofelisha wanafunzi kwa wingi ndiyo hutowa ma-graduate wenye ujuzi. Bado tuna ile kasumba ya kuona kwa mfano chuo kikuu kinachofelisha sana ndiyo ''hupika'' wanachuo wazuri. Hii ni kasumba mbovu. Wanafunzi kufeli kwa wingi inaonyesha kasoro kwenye ufundishaji au kutahini. Siku hizi njia za wanafunzi kusoma zimekuwa nyingi hasa baada ya kuingia kwa internet. Pia uelewa na umuhimu wa elimu unaonekana zaidi kuliko zamani.Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Mkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadiliMtizamo wangu
Sasa hivi kuna source nyingi sana za material kuliko hapo nyuma ambapo tulikua tunasoma zaidi past paper kuliko vitabu
1.Solution nyingi zinapatikana ndani ya Internet using search engines, Youtube etc
Kuunga mkono juhudi.Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Kama huwa unaingia youtube kumuangalia amba rutty sio kila mtu anafanya hivyo.Mkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadili
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Usisahau tunakaribia uchaguzi mkuuTanzania bado watu wengi wana kasumba ya kuona kuwa masomo yanayofelisha wanafunzi kwa wingi ndiyo hutowa ma-graduate wenye ujuzi. Bado tuna ile kasumba ya kuona kwa mfano chuo kikuu kinachofelisha sana ndiyo ''hupika'' wanachuo wazuri. Hii ni kasumba mbovu. Wanafunzi kufeli kwa wingi inaonyesha kasoro kwenye ufundishaji au kutahini. Siku hizi njia za wanafunzi kusoma zimekuwa nyingi hasa baada ya kuingia kwa internet. Pia uelewa na umuhimu wa elimu unaonekana zaidi kuliko zamani.
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma