Mbona waganga wanaoweka mabango kila kona wanatibu ukimwi hawachunguzi dawa zao?

Salathiel m.

Senior Member
Mar 12, 2011
185
41
Yule babu wa loliondo anapigwa sana vita wakat kuna watu wanatangaza waziwaz kua wanatibu ukimwi kumbe ni wezi tu lakn hawaguswi! Mzee wa loliondo anatia matumaini...twenden jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom