Mbona vifurushi vya internet vimepanda gafla hivyo kimya kimya?

DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
2,360
2,863
Mbona vifurushi vya internet vimepanda gafla hivyo kimya kimya. Inawezekana watu tukapotea Mitandaoni
 
Nilizoea Kwa halotel shillingi 5000 kwa GB 7 au shillings 1000 Kwa 1GB Kwa wiki . Sasa mambo yamebadilika kabisa nimekwenda voda , TTCL mambo bado tight
Jiunge Mega bando kwa Halopesa upate Gb 2 kwa 3000
 
Back
Top Bottom