Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,774
- 4,269
Nilighadhibika sheikh, niwie radhi.Marashi,
Umetoa hoja za maana ila lugha yako tu.
"Huyu mzee," "uongo,'' na mengine.
Hali kama hii huwa naepusha shari.
Ikiwa unataka mjadala tuwekeane heshima na adabu.
Leo ningependa basi nifafanulie unajua nini kingine kuhusu nchi hii zaidi ya Waislam waliopambania uhuru unaowatambua qwewe ilhali historia imewafukia.
Naamini nimehoji kiungwana, ukiridhia sheikh naomba nifahamishe nikujuwe.