Mbona Tumesahau Haraka Kiasi Hiki?

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,662
3,932
Marashi,
Umetoa hoja za maana ila lugha yako tu.

"Huyu mzee," "uongo,'' na mengine.
Hali kama hii huwa naepusha shari.

Ikiwa unataka mjadala tuwekeane heshima na adabu.
Nilighadhibika sheikh, niwie radhi.

Leo ningependa basi nifafanulie unajua nini kingine kuhusu nchi hii zaidi ya Waislam waliopambania uhuru unaowatambua qwewe ilhali historia imewafukia.

Naamini nimehoji kiungwana, ukiridhia sheikh naomba nifahamishe nikujuwe.
 

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
17,772
24,974
Nilighadhibika sheikh, niwie radhi.

Leo ningependa basi nifafanulie unajua nini kingine kuhusu nchi hii zaidi ya Waislam waliopambania uhuru unaowatambua qwewe ilhali historia imewafukia.

Naamini nimehoji kiungwana, ukiridhia sheikh naomba nifahamishe nikujuwe.
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
17,772
24,974
Naona tumetofautiana namna ya kupata Radhi za Mungu.
Kidonto,
Usitaabike kwani ikhtilaf ni silka ya binadamu.

Hatuwezi kukubaliana kila kitu.
Kila mtu Allah kamjaalia kile alichomjaalia katika uwezo wa kupambanua mambo.
 

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,716
8,612
Ngangari na Ngunguli.

Nimekumbuka boti mbili za Patrol zilinunuliwa kwa ajili ya Polisi zikaitwa Ngangari na Ngunguli kipindi hicho na hazikufana na mazingira yetu zikaishia kupaki Polisi Marine,mwaka huu zimekatwa katwa kama scrapper na habari yake imeishia hapo.
 

Taimkuu

New Member
Nov 23, 2022
1
1
Amani na salama Baba yangu kipenzi;

Maandiko huchagiza hali hasi na chanya kwa mpokeaji wa maudhui tolewa.Kama lengo ni kukumbuka ni kheri kwetu tujifunze lisitokee tena.Baba ni nani unamkumbusha katika maudhui yako?Wajukuu zako au Wazee wa zamani ili wafute machozi tena?Usinifikirie tu Mimi kijana wako ambaye nipo ng'ambo na huenda nikaishi huku siku za usoni.Nakuomba hima Baba yangu wafikirie wajukuu zako ambao hawana uwezo wa kuhama nchi pindi yakitokea tena.Wewe ni Baba bora kwangu hima nakuomba kwa busara zako waweke pamoja wajukuu zako kwa kuakisi Utaifa.Baba yangu kipenzi, wafahamu fika wajukuu zako damu zao ni za pande mbili( kisiwani na bara).Wape marejeo sahihi ya Fasihi zako kesho waitunze tunu ya Taifa.Baba ulipokea ujumbe na ukaufanyia kazi kutoka kwa mtu muhimu sana wa wakati wote kwako, nakuomba shime valia mavazi yako nadhifu kwa miadi na mwenye hiyo dhamana kwa sasa mweleze dhati ya moyo wako huku ukiwa umebeba mizigo ya wajukuu zako ambao hawana uraia pacha kusudi yasitokee tena kama nafsi yako inayoyaona.Mpe busara zako hakika hakuna lolote atapuuzia na atafanya kazi juu ya hilo, machozi hayatatoka tena historia haitojirudia.
Wasalimie wajukuu ,wahimize wapende karafuu na viazi mbatata kutoka Mbeya.

Baba yangu kipenzi usisahau kunywa maji mengi kwa afya yako.
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
11,736
21,057
kasome (zanzibar and union question) cha prof. Maina na Haroub Othman
Kwahiyo nikishasoma hivyo vitabu ndio inakuaje..kama una summary weka hapa..kipi wamehitimisha ama kushauri kwenye hicho kitabu??

#MaendeleoHayanaChama
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom