Mbona siwaelewi Vodacom?

Mkulu wawe

Member
Mar 4, 2020
73
77
Mara ya kwanza niliona kawaida,mara ya pili nikaona kawaida Sasa Leo ni mara ya tatu yani mb133 zinaisha ndani ya mda chini ya dakika moja? inawezekana vipi?tena kwa 3g jamani Vodacom kuweni waungwana
Nakumbuka mara ya kwanza niliweka mb 100 kwa mia tano zikaisha ndani ya dk moja mara ya pili mb200 zikaisha nikawachek wakanambia Kuna application nimezifungua nikakubali tu ila haikuwa kweli
Sasa Leo nimewasha simu nikauliza salio zimebaki mb133 mara nikawasha data nikaingia telegram hata dakika haijaisha naambiwa mb zimeisha jamani alafu ukizingatia kifurushi hiking nimejiunga Jana kwa elfu 3 gb1 hii sio fair kabisa vodacom
 
Voda wamegeuka majambazi . Wanatupora bila huruma. Huduma zao zimekaa kitapeli zaidi. Wajirekebishe.
 
Voda wanachojivunia ni speed tu. Ila Nadhani yao ndio 4G ya ukweli ila wanameza bando kingese.

Hii mitandao sio ya kuact nayo kama ndoa ya kikristo. Wakizingua Voda fasta unavuta TTCL Voda inakaa juu ya dirisha.
 
Kesho naenda kuchukua TTCL mapema sana haya ni mambo ya ajabu Sana,alafu mm nimewasha 3g tu hapa ila ndani ya sek mb133 zimekata dadeq
 
Mara ya kwanza niliona kawaida,mara ya pili nikaona kawaida Sasa Leo ni mara ya tatu yani mb133 zinaisha ndani ya mda chini ya dakika moja? inawezekana vipi?tena kwa 3g jamani Vodacom kuweni waungwana
Nakumbuka mara ya kwanza niliweka mb 100 kwa mia tano zikaisha ndani ya dk moja mara ya pili mb200 zikaisha nikawachek wakanambia Kuna application nimezifungua nikakubali tu ila haikuwa kweli
Sasa Leo nimewasha simu nikauliza salio zimebaki mb133 mara nikawasha data nikaingia telegram hata dakika haijaisha naambiwa mb zimeisha jamani alafu ukizingatia kifurushi hiking nimejiunga Jana kwa elfu 3 gb1 hii sio fair kabisa vodacom
kwakweli mi naona serikali ikiwemo TCRA iwagonge na kuwapiga ban ya maisha yaani iwafute kabisa, iwaondoe kwenye system ili TZ tubaki na mitandao inayoeleweka.
 
Back
Top Bottom