Mbona sisi member wa Jf ni waongo?

SPANISH CP

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
465
228
Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka.
Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.
 
Ulivyoelewa kuwa aliyeandika hahahaha amecheka ndio lengo la kila aandikaye ujumbe umefika na hisia za mwandishi utakuwa umemwelewa

LA ziada maandishi hayo yanatumika pia kwenye mitandao yote hata ya wazungu wachina waarabu name hata kwenye simu.
 
kwenye somo la interjection ulitoroka ukaenda kuvuta bange,alafu unalaumu wana jf

Kusoma ni jambo moja na kuelewa ulichokisoma ni jambo jengine.
Any way niandikie hisia za huzuni kama unavyoandika hisia zako za kicheko.
 
Masef nikiandika "hahahahaaaa" nakua na kautabasamu flani flani hivi! Siwezi kununa then nikaandika hayo maneno!
 
Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka.
Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.

tumia akili
 
Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka.
Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.

hahahaaaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom