Mbona sisi member wa Jf ni waongo?

Kwann isiandikwe wakati ni sauti inayotambulika umbo lake!

tatizo si umbo la sauti!tatizo si uhalisia kati ya tendo na andiko.
Mtu humaliza kwanza hisia zake za kicheko then ndo anashika keyboard na kuandika hahahaaaa" hapo hakuna uhalisia.
 
Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka.
Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.

Hahahahaaa Hahahahaa Hahahahaaa
 
Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka.
Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.
tukusaidieje?
 
hahahaha hahaha.. we jamaa unachekesha sana. Loliiiiii
 
tatizo si umbo la sauti!tatizo si uhalisia kati ya tendo na andiko.
Mtu humaliza kwanza hisia zake za kicheko then ndo anashika keyboard na kuandika hahahaaaa" hapo hakuna uhalisia.

Utakuja kudai watoto wazaliwe baada tu ya tendo maana miezi tisa hamna uhalisia!!!!!!!!!!!!
Kongosho unaitwa huku na dada yako snowhite mwambie mdogo wake King'asti ana ID mpya huku anazingua bendi
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka.
Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.
Mimi ni linguist na psychologist. Nitafute nikupeleke darasani. Kwa hiyo mtu akishangaa au kustuka aandike "nimeshangaaaaaaaa" na "nimestuka"? Utaalamu wako ni upi katika kuelezea hisia kwa maandishi? Hata mlio wa honi ya gari unaandikika Hata sauti anayotoa mbwa akibweka inaandikika!
 
Back
Top Bottom