#COVID19 Mbona sioni watu wakipimwa kwanza ili kubaini kama wameathirika au la kabla ya kupewa chanjo ya Covid-19?

Ningefurahi kama ungeniambia ulipimwa covid na baada ya majibu ukapata hiyo chanjo, kigezo cha kupimwa body temp siyo fact, magonjwa mengi yanaasili ya kupandisha body temp.
Unapenda kuona wenzako wanaumiaeee. Itakuwa una damu ya kichina
 
Kwa jinsi nilivyoelewa chanjo ya Corona inatolewa kwa kitu kinaitwa (emergency authorization) kama dharura kutokana na hali ya ugonjwa.

Basi ukiwa positive na ukachanjwa inakusaidia kupunguza makali ya uviko tofauti na yule asochanjwa kabisa.
Sio kweli mkuu. Ukiwa positive kisha uchanjwe hali inaweza kuwa mbaya zaidi.
 
Najua wengi wetu humu hatuangalii TBC ila jana nilipata bahati ya kuangalia kipindi kile kinaongozwa na Ryoba.

Kulikuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona, hizo hoja zote na zile za Gwajima zimejibiwa kiufasaha zaidi.
Tbc wametudanganya kwa muda mrefu sana so hata wakitoa taarifa ya ukweli hawaaminiki

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom