Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,289
- 6,339
Tumekuwa tukipata taarifa za madhara yanayo sababishwa na mvua kama hizi.
Hapa Dar mvua inanyesha tangia juzi usiku, jana mchana kutwa lakini sijaona popote taarifa ya uharibifu uliosababishwa na mvua.
Ama watu wako bize na Pasaka?.
Ama wanaogopa maambukizi ya Covid-19.
Je, hawa virus wa Covid-19 wanaweza kubaki kwenye madimbwi ya maji endapo alieambukizawa amekanyaga maji hayo?.
Sent using Jamii Forums mobile app