Mbona sioni impact ya safari ya Mwinyi Ikulu, au alienda kupongeza tu?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,742
Niliposikia kuwa mzee wa rukhsa amezuru Magogoni, nilipata faraja kuwa huenda sasa mambo yakarudi kuwa 'kama zamani'.

Nilitegemea kuanzaia hapo Safari za nje kwa watumishi wa umma rukhsaaa, nilitegemea kuwa mikutano, semina na warsha kufanyikia kwenye hoteli binafsi, rukhsaaa, nilitegemea ajira mpya, rukhsaa nilitegemea mikutano ya vyama vya siasa rukhsaaaa, yani nilijua kuwa baada ya Mwinyi kutembelea Ikulu, 'hatimaye wokovu ungerejea nyumbani mwa Zakayo', but naona kimyaaaa.

Au mzee alienda tu kupongezaaa?
 
Mwinyi ndo amshauri Magufuli?

kitu kimoja kuhusu Mwinyi huwa hapendi kutoa ushauri kama hajaombwa
 
Watu Walitegemea Miujiza Alipokwenda Pale
Yule Kaenda Kueleza Matatizo Yake Tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom