Mbona sina bahati ya kupata mchumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona sina bahati ya kupata mchumba?

Discussion in 'Love Connect' started by Shauri, Jan 20, 2011.

 1. S

  Shauri JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  HABARI WANA JAMII!
  NI MUDA MREFU SASA NIMEKAA BILA YA KUWA KWENYE MAHUSIANO KABISA,NIMEJARIBU KUFANYA MAAPROCHI YA KILA AINA BILA MAFANIKIO KABISA?SIJAPATA KAMCHUMBA NA UMRI NDO HUO UNAKWENDA!NAMAANISHA MKE!:smile-big:
  USHAURI?
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  japo hujasema ni muda gani umekaa lakini nikuhakikishie kuwa wachumba wapo wengi sana kaka labda kama unatafuta wa kujifurahisha tu ndio saa nyingine inaweza kuwa vigumu hasa kama unawalenga watu wanaojiheshimu na wenye malengo yao. ila kama kweli unataka wa kuoa, wapo wengi sana tena wengine ni wale ambao hujawahi kudhani kuwa watkukubali, we waaproach tu kwa kujiamini na kwa kumaanisha unachosema. muhimu usikate tamaa tu na usiache kumuomba Mungu.

  epuka kuentatain hisia kuwa huna bahati ya kupata wachmba. hiyo ndiyo sumu kubwa itakayokufanya usiwapate kweli, itakujengea inferiority complex na hapao utakuwa unapapambana na saikolojia yako zaidi kuliko hata kutafuta mchumba. jiamini kuwa unaweza na amini kuwa Mungu atakupatia mchumba bora na mzuri kabisa wakati muafaka ukifika
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hebu dadafua kidogo maana unachoongea ni kigumu kidogo kuaminika.
  je wanakukataa au,
  hawafikii vigezo vyako?
   
 4. S

  Shauri JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio wananikataa ,bosi ila sijampata mkweli/mwaminifu?ok bosi
  wengi wanaangalia maslahi(pesa)
   
 5. g

  geophysics JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Crap
   
 6. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ngoja nmchunguze nlienae kama nkiona hana nia, ntaamia kwako! cha msingi uwe mkweli na wew na vigezo vidogo vidogo!
   
 7. S

  Shauri JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  OK!
   
 8. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nimekugongea thanks kutokana na maneno yako yenye busara.
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  you again?:shocked:
   
 10. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lakini haya mambo yana muda wake wala usikate tamaa bwana mdogo.muombe mungu tu atakuletea kitu kizuri na chenye sifa zote.
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Might mean a lot......
   
 12. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani weee huna pesa?
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Unless kama una vigezo vya juu sn, ambapo kama ndivyo utazunguka sana. Weka kichwani kuwa hkna bnadam aliekamilika.
  Lkn pia ujue kuwa kwa utakayemwoa, nyie kama familia mna nafas ya kuanzisha tabia mpya kbsa za familia yenu...usione vyaelea...
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!!! Huyu jamaa mara kasema amedhulumiwa mara sijui nini sasa hivi naona hana bahati ya mchumba eheee
   
 15. P

  Paul S.S Verified User

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Umenikumbusha move moja ya kinaijeri jamaa anauwezo kila demu anaye muaprochi anamkubali haraka sana na kuonyesha anampenda jamaa sana, mshkaji akaona wote hawa wananikubali sababu ya uwezo wangu, akahama mtaa akanunu tax mbofu mbofu akajifanya tax driver kwa kuvaa hovyo na kukaa chumba cha kichovu kimoja choo maili moja.
  Hapo sasa akapata demu anaye mpenda kweli kutokana na jinsi alivyo na si mali zake. baadae aliporidhika ndio aka reveal true identity yake na kumuoa.

  Jaribu sana kuangalia hao mademu zako unawapatia ktk mazingira gani?
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Coming to America Eddie Murphy (Same Story)
   
 17. S

  Shauri JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yap?
   
 18. M

  Mayu JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  ukimchunguza sana bata humli kaka.6¦6kumbuka unanafasi ya kuanzisha tabia njema na mkeo
   
 19. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  thts exclude mkwanja! vitu vodogo vidogo kam vile elimu, mwonekano na tabia.
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwa mujibu wa mtaalamu mmoja jina limenitoka, watu wasio oa wanaodai kutopata wachumba sahihi ni wale wenye tabia ya kupenda kuchovya chovya sana kwa kigezo cha ninatafuta anayenifaa
  Leo yupo na amina kesho na fatuma,nivigumu kumjua demu unayempenda tabia yake hadi umuonje ndio atajiachia na kumjua tabia yake, so dont tell me huwa huonji
   
Loading...