Mbona simwoni kikwete kwenye G8 foto??au macho yangu??

Tanzania haipo G8, wao ni waalikwa tu, kuna baadhi ya sessions za vikao hawaudhulii...
 
Anapiga picha na kina rihana kwanza .Ila yeye ni mwalikwa hivyo anakama dk 10 za kuomba msaada kwa wazee wa g8.
 
Yeye jamani si ni mualikwa tuu wazee wanataka atoe ardhi for commercial agriculture ie as far as food security is concerned!
 
Yeye jamani si ni mualikwa tuu wazee wanataka atoe ardhi for commercial agriculture ie as far as food security is concerned!
Masikini sie! sijui safari hii kawaahidi kuwapa Hekta elfu ngapi?
 
Nani atamthamini huko, yeye ameenda huko kujisifia Umasikini, so wanamtupia kapuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom